Yaliyojiri: Kongamano la amani ya Tanzania - Julai 28, 2013

Rais anaongea sasa,watu wanapiga makofi kila baada ya maneno matano. 'points tupu' anawachambua polisi hadi aibu
 
Mmh,huyu lilian wasira kumbe ndo yuko hivyo?.
Jamani si kuna kipindi mlikuwa mnasema eti ni mrembo sana au zilikua siasa tu.

Wewe nawe unarely kwenye picha za face book????? Tatizo wanaume wasiku hizi mmekuwa wambeya sana ndo maana Liliani kawaambia mgangamale
 
slaa anabwabwaja tu. eti sababu ya mabomu ni ipi? sababu ya mabomu ni UKAIDI NA UGAIDI WA CHDM
 
Dah, dakika tano Mr. President kazitendea haki, maana naangalia TV najikuta napiga makofi na vigelegele
 
Kwa nini Syria wasiende tu msikititini kuombea amani ya nchi yao?
Amani ni tunda la haki si tunda la maombi. Mimi pamoja na kwamba nna dini lakini najua maombi hayaleti amani. Na mara nyingi hata wanaovuruga amani wanashirikiana na hao viongozi wangu wa dini kwa faida zao hata kama wanaharibu amani.
Big up Ryoba. Huo ndio ukweli. Amani ni tunda la sayansi ya haki. Period.
 
"Amani haihubiriwi wala kujadiliwa", wewe Dr.Slaa hapo ulipo unafanya nini?
 
Back
Top Bottom