Acha kumfanya ibilisi kuwa ndio mungu Molemo
1 Wafalme 8:60
Watu wote wa ulimwengu Wajue ya kuwa BWANA ndiye Mungu; hakuna mwingine.
Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Isaya 42:8
Mnyika anamalizia kwa kuzungumzia ahadi ya maisha bora vs maisha magumu. Anapitisha fomu kwa Watanzania wote walioko hapa kusaini kama wanaguswa na tatizo kubwa la maisha magumu. Anafuata Wenje.
Ushahidi au vppicha mkuu
Mnyika anatuma salamu kwa Kamhanda kuwa alisababisha mauaji ya Mwangosi. Anasema kitendo hiki hakivumiliki na hawataliacha suala hili bila ha2a kuchukuliwa
Viongozi wa hiki chama ni Watakatifu..
Kwani wao ndiyo wewe??? Anayesingizia wengine ugaidi wakati siyo kweli tumpe jina gani zaidi ya Lucifer Ibilisi mkuu??
Chadema wana Mungu wao wana Ibilisi.
Mkuu umesahau na viti kwenye analysis yko. Kiti kimoja ni sawa na nafasi ya watu sita. Haiitaji kwenda makerere kujua hilo. Hata makonda wanajua.
Sure sio sumu,ni unga wa rutuba!Makamanda leo wako Iringa wakimwaga Sumu.
Siyo SUMU please WANAELIMISHA UMMA yapasayo kutenda
uwanja ulijaa muda mrefu kabla hata msafara wa katibu mkuu, dkt. Slaa, na wabunge, peter msigwa, john mnyika, ezekia wenje, hyness kiwia na joseph mbilinyi.
hizi picha zimechakachuliwa, ni zile za wakati wa uchaguzi mkuu 2010
CHADEMA hawana kitu Malori yamesomba raia kutoka Morogoro na Mbeya kujaza watu Iringa lol..........