Mbona link haifunguki.Taarifa kwa Umma.
Chama cha wananchi CUF kinawatangazia wanachama wake wote wapenzi, mashabiki na wananchi kwa ujumla kuwa wanaweza kufuatilia live mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea muda huu popote pale walipo.
Ili kuweza kuangalia bonyeza link hii hapa_CUF TAIFA Live Stream:
http://youtu.beyoutu.be
Natumia chrome browser mkuu.Mimi kwangu inafunguka, unatumia browser gani mkuu..
Okay poa mkuu,ngoja tusubiri wadau wengine walete mrejesho.Natumia UC mini browser..
Hivi cuf bado kipo?Taarifa kwa Umma.
Chama cha wananchi CUF kinawatangazia wanachama wake wote wapenzi, mashabiki na wananchi kwa ujumla kuwa wanaweza kufuatilia live mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea muda huu popote pale walipo.
Ili kuweza kuangalia bonyeza link hii hapa_CUF TAIFA Live Stream:
http://youtu.beyoutu.be
Ndiyo hapo sasaMbona link haifunguki.
Asante sana mkuu sasa mambo muruwa kabisaLive Stream Link hii hapa
server not found!Taarifa kwa Umma.
Chama cha wananchi CUF kinawatangazia wanachama wake wote wapenzi, mashabiki na wananchi kwa ujumla kuwa wanaweza kufuatilia live mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea muda huu popote pale walipo.
Ili kuweza kuangalia bonyeza link hii hapa_CUF TAIFA Live Stream:
http://youtu.beyoutu.be
Waoga kama .................Hivi cuf bado kipo?