Nimesoma sentence ya kwanza na nikaishia hapo hapo baada ya kugundua umeandika upuuzi😎mama D, si kawaida yangu kuwajibu watu wapuuzi lakini leo nitavunja mwiko wangu kwako, nitakujibu. Umetoa mfano wa Marekani au siyo? Marekani unaijua ama unasimuliwa tu...yaani kitendo kama kile cha Mh. Lissu kimtokee mwakilishi wa wananchi tena Mbunge (kwa Marekani wanaitwa members of Congress, muunganiko wa House na Senate) halafu maisha yaendelee kama vile hakuna kilichotokea! Kama maana yako ni hiyo nadhani wewe ni mpuuzi kuliko wapuuzi wote humu JF.
Ingekuwaa Marekani mitaa yote isingekalika hadi mhusika apatikane. Nakuapia ingekuwa Marekani haingechukua saa 24 wahusika wote wangekuwa wameshakamatwa. Natamani nikupe shule lakini kwa kuwa umethubutu kuifananisha Marekani na Tanzania, nadhani ni kazi bure hata kujaribu kukuelimisha. Congressman amiminiwe risasi kama ilivyotokea kwa Lissu tena kwenye makazi ya viongozi halafu miaka mitatu inapita...oh what's the use...than argue with your likes, I'd rather argue with a dining table, goodbye!
Watu kama wewe kambi yaenu ni CCM, hifadhi ya wajinga na wapuuzi.
Wale vijana wenu mliwapa mawe pale ofisi yenu ya CCM wamshambulie lissu wanaendelea hapo na matibabu????Kww taarifa yako kuibiwa mtaibiwa na hamna ubavu wa kufanya chochote Kama tumewaengua madiwani wenu karibu 400 na mko kimya mnafikiri mnaweza kufanya nini?
Yaani ni hivi kura mtaibiwa na mkireta chokochiko tunafunua marinda kuanzia ya shangazi zenu.
mng'ato hujaziona hizo nyumbani kwako? Mrembo wako alichukua 2Hakika jua ni nyota.View attachment 1579855
Acha blabla mpuuzi wewe. Uchaguzi uwe huru na haki full stop hamwezi kuingia kwenye huku mkitegeme njia za kishenzi mtazamwe tu.Kama umesoma sheria bila Shaka ulipata karai...yaani hata kwenye mitandao mnavyohamasisha vurugu na mauaji ushahidi unawekwa ..ole wako uko verified member...nadhani hujui dunia inavyokwenda...unadhani walioshitakiwa kwenye mahakama ya Arusha kuhusiana na mauaji ya kimbari Rwanda 1994 wewe unafikiri wote walishika mapanga na kuua?! Wengine walikuwa Kama nyie kuhamasisha kwenye media.
Sasa kupigwa risasi kwa Lissu na madai ya kuhusika kwa huyo uliyemtaja bila Shaka mwenzetu una ushahidi mzuri kwa polisi na huko The Hague...huko utawasilisha vielelezo na suyo blah blah..umetaja UN tangu lini chombo hiki kilizungumza masuala ya Tanzania?! Nyie watu hamnazo kichwani...Yaani UN izungumzie dhuluma ya TZ??!! .ni kikao gani hicho ?! Cha security council? Au Cha General Assembly?! Tangu lini UN ikaona Kuna dhuluma Tanzania?! .stupid...very stupid indeed and idiot too...yaani mnaropoka ropoka tu...you don't know how the international system works and/ or operates...humjui masuala ya international relations...hujui dhuluma ni Nini...mmevimbiwa amani ya TZ Sasa mnataka kuleta vurugu...hamfanikiwi ng'o..this country is safe...Kuna watu wanafanya kazi usiku na mchana to make sure this country is safe...hata wewe unayeropoka nyuma ya keyboard ni kwa sababu vijana wako kazini kuhakikisha kuwa uko huru...stupid...ila ukiendelea kuhamasisha ushahidi wa maandiko ya Aina unawekwa..utakuwa candidate wa the so called The Hague...
Mkuu kwa baadhi ya matukio hapa kwetu yapo tofauti yahani unaona mamlaka zilizo takiwa kusaidia wahusika wajulikane zinajitahidi kuuficha ukweli. Matukio yote ya mauaji yyanayo "wahusisha" wanasiasa huwa yana fumbwa fumbwa ili yasijulikane mhusika ni nani, umakumbuka pale Soweto Arusha?....Nimekuuliza je kila nchi mauaji yanamotokea au kupigwa risasi watu ni rais na serikali yake?
Hiyo tweetvideo nimeiona ila na nimeilewa pia na Membe ndio kashapotezwa. Ila kila mtu ana uelewa wake anyways
Tutasimama wenyewe, na nikuambie tu, tutawapasua vichwa mwaka huu, si mmezoea kuiba.Wewe una uhakika gani juu ya hilo
Au una jeshi lako?
Mkuu, iko wazi kwamba ccm na serikali hii ya awamu ya tano ndio waratibu na wasimamizi wa matukio yoote ya kuteka na kuua hapa nchini,Mkuu kwa baadhi ya matukio hapa kwetu yapo tofauti yahani unaona mamlaka zilizo takiwa kusaidia wahusika wajulikane zinajitahidi kuuficha ukweli. Matukio yote ya mauaji yyanayo "wahusisha" wanasiasa huwa yana fumbwa fumbwa ili yasijulikane mhusika ni nani, umakumbuka pale Soweto Arusha?....
Nikuhakikishie hakuna Kura hata moja itakayoibiwa mwaka huuTutasimama wenyewe, na nikuambie tu, tutawapasua vichwa mwaka huu, si mmezoea kuiba.
Kweli kabisa mkuuwacha uongo man, hii ni sherehe za mabikira na mfalme mswati huko Swaziland, mwaka 1666! Mnamdanganya Nani nyie BAVICHA!
Sawa sawa NEC....Baada ya tarehe 28/10/3/2020 ...atakuwa Tundu la chooo na siyo lisulu.
Hindsight:Nakuhakikishia hakuna Kura itakayoibiwa mwaka huu.Mlizoea Sasa mmekutana na Mwamba msidhani ni Lowassa huyu
Haya maneno ndio yanafanya muitwe nyumbuNakuhakikishia hakuna Kura itakayoibiwa mwaka huu.Mlizoea Sasa mmekutana na Mwamba msidhani ni Lowassa huyu
UmeonaHaya maneno ndio yanafanya muitwe nyumbu