Femsor The Activist
Senior Member
- Oct 1, 2012
- 182
- 73
Alafu huyo Shozi sijamuona hata kwenye kumpongeza Chemba, Vipi? Mjamzito nini kalazwa maana Mimba changa zinasumbua sana.
Mkuu Kibanga kampiga Mkoloni,watakua kwenye korido za Lumumba wanaugulia Maamuzi,maana Dr.wa Ukweli Slaa aliwafuata kwao Mbozi kagawa dozi vibaya mno hahahahahaha.