utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Tahadhari: wananchi waliohudhuria wawe makini na mabomu ambayo jamaa wanaweza kujilipua ili ku seek popularity
Wewe subiri gongo ihalalishwe acha kuweweseka
Ambazo wana edit za 2010
Ukiacha gongo kichwa chako kitatulia. Pumzika lau mwezi mmoja tu....gamba hili
Wewe mungi weka picha ndio uje na hizo hekaya mkuu. Hivi hivi kadaanganye watoto
Tahadhari: wananchi waliohudhuria wawe makini na mabomu ambayo jamaa wanaweza kujilipua ili ku seek popularity
Wewe acha uwongo si ulisema upo moshi??mara hii upo arusha
Ukiacha gongo kichwa chako kitatulia. Pumzika lau mwezi mmoja tu
Hill sio tatizo...mtu akivurunda haijalishi kafanya mangap...hzo mambo zko ccm kwenu Mara mizengo pinda alishindwa kuchukua hatua kweny maamuz ya bunge kuhusu richmond kiss itapasua nchi....weak leaders eveeeeer!!!!Hiyo ndio demokrasia? Akumbuke kuwa kadi yake alikabidhiwa na zitto
Duu wewe milango 6, kumbe bado unaipenda chadema eeh...ama kweli chadema ni kama maji...usipoyaoga utayanywa dah.
kutoka moshi no dakika ngapi acha ujinga...
Tundu Lisu ni mtoa elimu mzuri sana nampenda pia anavyojiamini!!Huyu jamaa Mungu amlinde ampe nguvu aendelee kutuelimisha safi sana.Kumbe tunakimbizwa na jeshi utafikiri ni vita kumbe jambo la kawaida je ikitokea vita tutapeleka tutapeleka akina nani!!?Ccm washatambua kuwa hawana chao, wakweka mikutano wananchi hawaendi wala hawana mpango wa kusikiliza ngonjera zao, ndio maana wanafanya kama wanavyotaka bila kujali, sababu wanajua kitumbua kimeingia mchanga.
Tundu Lisu ni mtoa elimu mzuri sana nampenda pia anavyojiamini!!Huyu jamaa Mungu amlinde ampe nguvu aendelee kutuelimisha safi sana.Kumbe tunakimbizwa na jeshi utafikiri ni vita kumbe jambo la kawaida je ikitokea vita tutapeleka tutapeleka akina nani!!?
Hapo kwenye red: Kwa watanzania wenzako walioenda shule na kuelimika wangeandika he is a JF illiterate lakini kwa kuwa ni wewe mbumbumbu unayeishi kwa hisani ya Lumumba project tunakusamehe! Jamani kuishi kwa ukajanja mjini kwa kutegemea ofisi ya Lumumba itawapeleka kubaya, nendeni shule mpate elimu ya uhakika ili muache kulamba miguu ya wanasiasa.
Ngoja niwa pm mods kuwatahadharisha huu utapeli ambao unaota mizizi hapa kila uchao
Gamba mageti 6,anakula za uso huku.Wenzake wamemkimbia hahahahahaha,wapi Ritz,Mwampepo na Shonzi J.Njooni mmuokoe Sixgates