Vipi gongo, ipo?...
....Hii nyomi iliyofurika hapa itasababisha watu wafe kwa pressure !!!!!
Kumbe ni wivu kwa kuwa mwenzenu ni maarufu kuliko nyie?Haiwezekani mtu kuwa maarufu kuliko kuwa chama kilichompa umaarufu.
Wewe acha uwongo si ulisema upo moshi??mara hii upo arusha
Wao wanahakikisha hii kitu inakuwepo tuu.Ccm washatambua kuwa hawana chao, wakweka mikutano wananchi hawaendi wala hawana mpango wa kusikiliza ngonjera zao, ndio maana wanafanya kama wanavyotaka bila kujali, sababu wanajua kitumbua kimeingia mchanga.
Af huyo jamaa inasemekana ni mgonjwa wa kudumu pale mirembeAmezungumzia suala la Zitto Kabwe, kwamba chadema walishamalizana na Zitto Kabwe, anasema anabaki tu kama mwanachama wa chadema kupitia mahakama.
Vipi gongo, ipo?
Mbowe ataondoka lini kwenye kiti?Wao wanahakikisha hii kitu inakuwepo tuu.
Wewe subiri gongo ihalalishwe acha kuweweseka....gamba linasononeka !!!!
Hizo ni kampeni chafu kabla ya wakati, ni kuwashinikiza watu wafanye unavyotaka wewe.Njia iliyobaki ya kutupeleka mbele ni katiba mpya. Tume ya Warioba imeleta rasimu nzuri, imetumia bilioni 74, ccm wamekuja na mkakati wa kuivuruga, tujiandae kujiandikisha watakapoleta daftari la kupiga kura ili wakileta kura ya maoni kuhusu katiba tupige kura
Wewe acha uwongo si ulisema upo moshi??mara hii upo arusha
Wewe acha uwongo si ulisema upo moshi??mara hii upo arusha
Azitoe wapi?kamanda mwaga mapicha
moshi- arusha ni mendo wa nusu saa tu mbulula wewe
Azitoe wapi?