Amezungumzia suala la Zitto Kabwe, kwamba chadema walishamalizana na Zitto Kabwe, anasema anabaki tu kama mwanachama wa chadema kupitia mahakama.
hivi huyu lissu zito alisha mmini kabang nini? maana ana mahaba na zito kushinda mke wake. akilala zito. akiamka zito.akiota zito. eeeeh, kweli lisu amechanganyikiwa