Yaliyojiri Jangwani, Dar: Mkutano wa kuhitimisha Kampeni za mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli

KAmanda asante kwa taarifa,pia pole na matatizo ndio ukubwa huo,Hakika kazi mnaifanya ,Naona watani wetu UKAWA pumzi zimewaishia,wanaishi kwa glucose sasa,VIVA CCM
 

Nina mashaka na huyo MTU kwa sababu anaropoka sana mpaka anapitiliza,
Kuna kitu hakiko sawa juu ya huyo mtu ila kwa sababu ya ushabiki maandazi tu,kuna watu pia wanakurupuka kumshabikia bila kupima kwa umakini kauli zake anaponda na kusifia bila kujua,na kujiona yeye ndio bora anayeweza kuliko wote
 
KAmanda asante kwa taarifa,pia pole na matatizo ndio ukubwa huo,Hakika kazi mnaifanya ,Naona watani wetu UKAWA pumzi zimewaishia,wanaishi kwa glucose sasa,VIVA CCM
Ndugu,
Shukrani zikuendee na wewe pia kwa kufanikisha kampeni kwa njia moja au nyingine.

Usisahamu kuhimiza wananchi kwenda kupiga kura
 
kaka shaka ondoa mimi kesho nashuka hapo na emirate nimeomba ruhusa huku DXB tupo wana CCM wengi sana ,itakuwa ni dhambi kubwa sana pasipo kuja KUMKATA TENA ,maana Tumeshazoea kumkata,tutaonana kwenye kumwapisha MAGUFULI,
Ndugu,
Shukrani zikuendee na wewe pia kwa kufanikisha kampeni kwa njia moja au nyingine.

Usisahamu kuhimiza wananchi kwenda kupiga kura
 
kaka shaka ondoa mimi kesho nashuka hapo na emirate nimeomba ruhusa huku DXB tupo wana CCM wengi sana ,itakuwa ni dhambi kubwa sana pasipo kuja KUMKATA TENA ,maana Tumeshazoea kumkata,tutaonana kwenye kumwapisha MAGUFULI,
Ndugu,
Ubarikiwe sana.
 
Ama kweli kuna uongo mwingine kuutambua ni rahisi sana na haiitajiki elimu ya hali ya juu sana ili kuugundua. Hii inathibitisha kwamba kweli njaa ikimzidi mtu ni hatari sana. Leo hii nilipokuwa ninaangalia kampeni za CCM. Kiongozi wa madereva alikaribishwa na Kinana ili auambie mkutano ule Jambo. Kwanza alianza kwa kusema leo amesimama kwa amani na wala si kutangaza mgomo wa madereva. Baadaye akamsifia Magufuli kama alivyoona inafaa. Mahali alipokuja kutokota ni pale aliposema kwamba eti dhamiri yake inamsuta kutokana na mgomo walioufanya pale Ubungo. Anasema anakumbuka kwamba waligoma kwa siku mbili hali iliyomlazimu mama mmoja kujifungulia chooni pale Ubungo. Akaendelea kusema kwamba, eti akaja kiongozi mmoja wa upinzania akawashawishi wafanye siku saba. Kwa madai hayo akawa anajaribu kuwaambia akina mama kwamba upinzani haujali wanawake kwa sababu tu ya kuchochea ongezeko la muda kwa mgomo uliosababisha mwanamke ajifungulie chooni. Swali ni kwamba, hivi huyo mwanamke aliyejifungulia chooni kutokana na mgomo wa madereva wa mabasi makubwa, ni kwamba alikuwa amekodisha basi ili limpeleke hospitali akajifungue? Ina maana huyo mwanamke hakujua kabisa kwamba kuna Taxi na hata bajaji? Tangu lini mwanamke anayekwenda kujifungua akaenda kituo cha mabasi ya mikoani ili kupanda basi la kumpeleka hospitali? Na huo usafiri alioutumia kwenda mpaka ubungo kupanda basi maana ninaamini haishi ndani ya kituo cha mabasi, kwanini hakuutumia kumpeleka hospitali? Kweli njaa mbaya sana, imemfanya jamaa ametoa uongo wa kitoto kupita kawaida.
 
Ndugu,
Hoja yako ni nini?

Mikutano yetu tunarushwa moja kwa moja kwenye Television ili kumaliza marumbano ya kipumbavu kama haya.

Umeangalia kwenye Televions?

Kwenye Television inaonyesha Kikwete kavaa Suti...na kiuhalisia Jangwani inaonyesha Kikwete kavaa uniform za Magamba....ndo napata mashaka ni picha za lini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…