Siyo kweli vyama vyote vya siasa vinaweza kuhojiwa na wananchi sababu vinapewa kodi zetu kama ruzuku labda hiyo sheria ifutwe ya ruzuku ndipo watu wasihoji.Kuhoji serikali ni jukumu na haki ya kila raia mlipa kodi ila kuhoji mambo ya chama ni haki ya wanachama pekee. Mtu wa nje ya chama akihoji hicho kinaitwa kiherehere.
Halafu hapo nikusahihishe kidogo. Hakuna serikali ya CCM bali kuna serikali inayoongozwa na CCM. Serikali ni ya wananchi wote raia wa Tanzania, msipende kuibinafsisha.
Chama cha kaskazini katika tv ya mtu wa kaskazini... chagadema
hiv ww ni jinsia gan maana sikuelew kabisa. Haina maana sis 2naoish huku wote ni chadema mm sina chama wala sitaki usiwe unaongea pumba udin, ukabila, ukanda havina nafas tz
Siyo kweli vyama vyote vya siasa vinaweza kuhojiwa na wananchi sababu vinapewa kodi zetu kama ruzuku labda hiyo sheria ifutwe ya ruzuku ndipo watu wasihoji.
Unarusha ngumi hewani tu hii serika ni ya CCM ndiyo maana mnatokwa na povu.
NEC wanayopanga ndiyo yanayofuatwa na serikali.
Kesho ijumaa SAA 3 usiku ni kipima joto...
Inawezekana hiyo harambee imeandaliwa na Mengi. Si unajua tena wachaga wameamua kuungana kutengeneza kiota chao!!! Wakuwasikitikia ni wale wenzangu na mie wasiojitambua na kuamua kuijenga empire ya kazkazini wakati kwao kusini. Yani ni sheedah...
Tupewe Mrejesho kwanza wa harambee zilizopita!
kaskazini ya wapi mkuu?Chama cha kaskazini katika tv ya mtu wa kaskazini... chagadema
hiyo pesa itumike kuwajengea uwezo viongozi wa chini ngazi ya vitongoji na vijiji. Chadema wana viongozi dhaifu sana katika ngazi za mitaa na vijiji. Bila kufanya hivo watanzania watasubiri sana mabadiliko.Kutakuwa na harambee ya CHADEMA itakayofanyika kesho tarehe 31/10/2014 katika ukimbu wa Serena Hotel na kurushwa live na ITV kuanzia saa 3 usiku mpaka 5 usiku.
Katika harambee hiyo,CHADEMA watazindua matumizi ya teknolojia katika siasa.
CHANZO:ITV