Yaliyojiri Dodoma: Shughuli ya Kitaifa ya kumuaga Hayati John Magufuli

Tundu Lissu anapoteza umaarufu kwa Kasi Sana. Less people pay attention to his posts of recent.

Anapoteza quality za "stateman"

Zodoa zodoa haijawahi kuwa sifa nzuri ya kiongozi wa nchi. Ni sifa nzuri ya mwanaharakati.


Mungu tu amjalie roho ya ukimya kwa kipindi hiki Cha msiba huu mkuu wa taifa. Atuache tumzike mpendwa wetu kwanza
Povuu kma lote,kunywa mtori nyama utakuta chini
 
Sawa ndugu yangu, lakini ni aibu kwa Taifa. Wenzetu, mataifa jirani wanalichukulia serious hili suala la kujikinga na kuwakinga wenzao walio kwenye hatari kuathirika na ugonjwa huu
Tuambie pia kwamba kwa sababu wamelichukulia serious , corona' imeisha nchini kwao..!!!!.
Mbona mnasisitiza Sana pasipo kutoa uthibitisho kwamba Ni kwa kiwango gani barakoa inawakinga watu na corona'..
 
Mjane apelekwe Chato akapumzike huku akisubiri mazishi ijumaa..huku kumzungusha zungusha ni kumuumiza tu na haina hata ulazima..au ndo price to pay kwa kuwa mke wa Rais?..No, ustaarabu utumike.
Ahsante kwa kuwashtua.Labda watashtuka.Au kuna shida ya usafiri wa kumpeleka Chattle.
 
Hata social distancing na njia zingine za kujikinga hazikuzingatiwa pia. Kama covid 19 bado ipo Tanzania kuna jambo baya litatokea ndani ya hizi wiki 2.
Unarudia tabiri za mke wa Bill Gate alitoa mwezi Kama huu mwaka jana hauna lolote. Wambieni Tanzania tumekataa kuwa kondoo
 
Kwakweli mzee anamudu kazi ya Uamidi wa shughuli ya msiba aliyopewa kwa Leo, pili kama unajifunza namna ya kusoma vifungu vya maneno, habari ambayo itahusiana na alama

kina nukta, mkato, funga na fungua semi. Na alama nyinginezo basi tafuta speech zake anaposoma kwakweli anamudu kutumia hizo alama.

Ana sauti ya ushawishi na ya kimamlaka ni fundi sana....hongera Prof, hapa watakuja wa jalalani tukumbuke hakuna mkamilifu.
Ohhhhhhhhhhhhhnini eti,pole
 
Mzee Mgaya amesema baada ya kumsikia waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi akisema hayati Magufuli amekuwa na matatizo ya ugonjwa wa mfumo wa umeme mwilini kwa miaka 10 ameshtuka sana na kuumia rohoni.

Kwamba katika hali aliyokuwa nayo lakini hayati Magufuli alijitoa kutumikia taifa lake bila kuchoka, hii ndio imempa simanzi zaidi mzee Mgaya.

Mwisho Mgaya anasema " Hakika hayati Magufuli alikuwa na Upendo wa agape"

Maendeleo hayana vyama!
Kwa wengine wa huku kwetu yana vyama.Chunguza utajua tu
 
Kitu interesting kwenye msafara ni kuwa msafara wa hizo pikipiki za polisi zililizozingira msafara na kuuongoza ni za serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Polisi wa Zanzibar ndio wanaongoza msafara wa kuagwa Dodoma.
Unataka kutuaminisha kwamba msafara wa kihistoria kama huu unaongozwa na askari wa nchi jirani?
 
Hivi ruti ya Udom Hadi Benjamin Mkapa ilikuwepo au ilizuka tu kwa waongoza msafara maana baada ya kufika tukarudishwa studio na Tbc kagiza nako kakaingia yaani walinikatisha ufuatiliaji wangu
 
Back
Top Bottom