Yaliyojiri Dodoma: Maadhimisho ya Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2017

Kwanza wakati vituo vyote vimededicate muda wao kucover sherehe za Muungano nyie TBC2 inaonyesha bongo flavour(shame) Pili picha za uwanjani zinaonyesha askari wote ni wafupi na wapana kuliko kawaida. Sauti ya mtangazaji utadhani ana maji mdomoni. Muziki wa band hausikiki. Yaani hadi kero. Si kawaida yangu kuangalia TBC, ila kwa umuhimu wa leo nimepitia nikitegemea the best nikaambulia stress.

Hongera vituo vingine, hasa ITV na East Africa wote mpo mubashara bila chenga. Huu ndo uzalendo. TBC ningekuwa na uwezo ningewafungia maana mnatuchosha bure.

Update. Angalau sauti mmerekebisha bado picha sasa, na hizo bongo flavour zenu wakati wa issue serious za kitaifa.
. ... app ya itv mubashara kbsaaa!
 
Kwanza wakati vituo vyote vimededicate muda wao kucover sherehe za Muungano nyie TBC2 inaonyesha bongo flavour(shame) Pili picha za uwanjani zinaonyesha askari wote ni wafupi na wapana kuliko kawaida. Sauti ya mtangazaji utadhani ana.maji mdomoni. Muziki wa band hausikiki. Yaani hadi kero. Si kawaida yangu kuangalia TBC, ila kwa umuhimu wa leo nimepitia nikitegemea the best nikaambulia stress. Hongera vitio vingine, hasa ITV na East Africa wote mpo mubashara bila chenga. Huu ndo uzalendo. TBC ningekuwa na uwezo nngewafungia maana mnatuchosha bure

Update. Angalau sauti mmerekebisha bado picha sasa...Na hizo bongo flavour zenu wakati wa issue serious za kitaifa.
hivi tbc mnaumwa ugonjwa gani. yaani tv ya taifa ni ya ovyo tv binafsi ndio watu wanaangalia pamoja wanatamani wangeangalia tbc. au wafanyakazi wa tbc wanahongwa kuhujumu tv ya taifa.
 
Every loyal Tanzanian except mamangi
Jamani sio wote, mbona mimi ni Mangi na nafurahia sana? Nina tii mamlaka iliyowekwa madarakani na Mwenye Enzi Mungu, kwenda kinyume na hapo ni kujitafutia ma stress yasiyo na kichwa wala miguu! Long may he reign JPM!
 
ViZuri Hotuba yake iwe ya kutoka Moyoni sio zile za kuandikiwa!

Rais akihutubia bila ya kusoma Hotuba huwa inapendeza sana Maana huwa tunauona kabisa Moyo wa Rais wetu!
 
Back
Top Bottom