Si ndio maana mimi nimeishia kucheka tu,ni Erickb52 huyuhuyu ninayemfahamu mimi au kaazimisha password yake kwa mtu
ulienda club gani?mimi nilikuwa olduvai karibu na kibo palace ni wazungu tu pale wanacheza kwa kurukaruka
Umeona eh? Huyu dogo na machangu ni sawa na Padre na Sakramenti afu anatuletea uzushi wake hapa.
Afu oyaaa kuna linyau lenzio linaitwa St. Paka Mweupe liko on heat linatafuta bwana. Umeliona au ndo ushazeeka tena?
Yah jana nilikuwa mwenyewe ndio maana nikaweza kunotice haya otherwise huwa siyaoni kabisaa nashangaa jana ndio nimeona labda kwa kuwa nilikuwa mwenyewe sina ubusy wa storyUsijali uzuri nimekuelewa...ila inaelekea ume-enjoy sana otherwise wala usituhadithia yote haya.. Mambo ya club matamu especially ukiwa na company ya kutosha..
Hahahahaaaa eti linajiita LINYAU JIKE lol sijui limetoka wapiUmeona eh? Huyu dogo na machangu ni sawa na Padre na Sakramenti afu anatuletea uzushi wake hapa.
Afu oyaaa kuna linyau lenzio linaitwa St. Paka Mweupe liko on heat linatafuta bwana. Umeliona au ndo ushazeeka tena?
Hahahahaaaa eti linajiita LINYAU JIKE lol sijui limetoka wapi
Hata hivyo sijawahi kuwa na interest na hao watu na sitaweza hata siku moja....!hao wa bavaria ndio wabaya utajua ni msafi kidogo kumbe ni mbwa koko..
Umeona eh? Huyu dogo na machangu ni sawa na Padre na Sakramenti afu anatuletea uzushi wake hapa.
Afu oyaaa kuna linyau lenzio linaitwa St. Paka Mweupe liko on heat linatafuta bwana. Umeliona au ndo ushazeeka tena?
We si paka ? Kwani paka anaheshimika? Heheheeee halafu mgeni gani anajua watu anajua mention anahama majukwaa kwa spid hivi?jamani mbona mnanitusi?
jamani mbona mnanitusi?
Mhhh kuna kitu hapa..
Yah jana nilikuwa mwenyewe ndio maana nikaweza kunotice haya otherwise huwa siyaoni kabisaa nashangaa jana ndio nimeona labda kwa kuwa nilikuwa mwenyewe sina ubusy wa story
Ila nilienjoy kuwaenjoy watu
Hahahaaa pale huwa naenda nikimiss Pop koni
Au kama kuna mpira mzuri
Vumilia tu nimeshakwambia utawazoea tu,nipo na wewe usiogope