Yaliyojiri bungeni Dodoma leo tarehe 06/06/2016

Hebu elezea vizuri walikuwa wanatanua nini ndani ya bunge?
 

Wakati Wazungu wakihangaika kila kukicha kufanya TAFITI mbalimbali na UBUNIFU unaoendana na kasi ya dunia kwa sasa sisi Watanzania tunahangaika kuzungumzia " utupu " wa Watu na kufanya ndiyo kipaumbele chetu. Sijui Kwanini Nyerere aliwafukuza Wazungu ( Wakoloni ) kwani labda wangeendelea kuwepo / kubaki wengi wetu tusingekuwa tuna fikra za " hovyo hovyo " hivi.
 
"nimeliona tukio kwa hofu ya kukiuka sheria ya mtandao" nimetoa wakati lilipotokea, kama moderators wataona hilo halikalifu sheria, hapo ndipo hoja ya kusema hujaeleweka linasimama
We weka bana sio kosa
 

mkuu unaonekana kujua kilichotokea, nani alikuwa tupu mkuu???
 
Mkuu weka mambo sawa! Kama walikuwa wanafanya mambo ya usiku weka waz
 
"hovyohovyo" wakati Lewinsky na Clinton walipo umbuliwa kule USA, "wazungu wafanya utafiti na ubunifu mbali mbali" walikwenda likizo? au walioyazua hayo walikuwa waswahili?Think positive!
 
"hovyohovyo" wakati Lewinsky na Clinton walipo umbuliwa kule USA, "wazungu wafanya utafiti na ubunifu mbali mbali" walikwenda likizo? au walioyazua hayo walikuwa waswahili?Think positive!
Kwa hiyo hai wabunge walikuwa wakifanya mambo ya kina Bill na Monica?
 
Naona JF haijakusaidia.
Unawezaje kufanya utafiti wakati wanaokupangia sera, pesa na namna ya kufanya utafiti wanafanya hayo unayoyaita ya hovyo hovyo?
 
Wasi wasi wangu mkubwa juu ya ubora wa mijadala bungeni ni hali ile ya akina Kitwanga. Taarifa kwamba wengi wanakuja bungeni na kuzungumza under the influence of narcotics or alcohol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…