Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

mimi nilikuwa ccm lakini pumbafu zao hawa washenzi sana sana .. ela wamekula alafu wanaongea ushenzi tu bungeni..hawa wabunge wa ccn washenzi. tu.. madawa hakuna mahospital wao wanatete ushenzi
 
mpaka hapa hakuna mtu anaendoka,sasa watumishi wa umma ibeni ila tu msishikweeeee
 
Jamani nikiendelea kungalia hili bunge naweza nikavunja TV yangu ya chogo niliyoinunua kwa taabu mnooo, tofauti na hawa walioekewa kwenye account zao na malaika.
 
Bunge limepoa sana jioni hii siyo kama jana,,,,,,,,,,hivi kuna mtu atasema nimepewa pesa rushwa?? kweli?????????????? utani huu
 
Wanajamvi kwa kinachoendele bungeni na speech za wabunge wa ccm hakika watanzania tutaendelea kua ng'ombe wa maziwa.
 
Halafu wewe Ndasa uache ujinga kumtaja Mungu kwenye mambo yenu ya ufisadi tena ushindweeee!!
 
Back
Top Bottom