View attachment 206301
Wewe ni aina ya watu wenye vichwa vya namna hii.
Wabunge wengi n wachangiaji wa Upinzani.wanaongea kwa hoja na visibitisho. Sio CCM wamepewa agenda za kulinda chama mwisho wa siku wanabwatuka na kuonyesha Umma kuwa hawana utashi mzuri, mfano mzuri ni mama mmoja hivi ambaye alipewa taarifa sana.
Tunajadili mtoa hoja badala ya hoja yake, sidhani kama ni sahihi! Ingekuwa vema tukajibiwa maswali: Zitto alipokea fedha za ESCROW, atuambie zilikuwa halali au la?
Je, fedha za ESCROW zilianza kuwa "haramu" wakati gani? Haya ni baadhi tu ya maswali aliyouliza Lusinde! Tuache dharau tujadili hoja!
1.Kisheria TANESCO kama mlipaji malipo IPTL alikuwa anatakiwa a withhold Tax na aipeleke TRA.
Withholding tax kama TANESCO hawakuibakiza Tatizo ni la Tanesco sio PAP
2.Ripoti ya CAG ilisema hela za Escrow zaweza kuwa serikali au si za serikali.Kwa nini hawakusema wazi ili wabunge wajue? Kwa nini wametoa SENTENSI TATA ya kuchanganya wabunge kama hiyo
3.Waliopewa hela za ESCROW zile hela walizopewa ziwe treated kama personal income na waliofaidika walipe kodi kutokana na mapato hayo ya mgawo
4.Kodi ya VAT na ushuru wa STAMP haijapotea sababu kampuni bado ipo na imesaini hati ya dhamana kuwa kama kuna madai yeyote yapelekwe kampuni ya PAP ni swala la TRA kwenda kudai hizo kodi
Hata Mbowe naye amelamba mshiko
Ni vibaya kama yeye ameleta huu uzi? Mbona ishu kubwa unaijibu kwa ishu nyepesi hivyo?nasari ndiye kaleta huu uzi ili nayeye atajwe jf wewe huwezi lingana na masele
Wacha mahaba lusinde kamlipua zitto, na zitto kahongwa hela na singasinga
kwa hiyo ulitakaje sasa
Mnajiona mmeshinda hiyo kesi sisi bado lipo kwenye mind zetu itajulikana tu.
Kwa ulimwengu wa sasa elimu tena elimu bora ni kitu cha muhimu sana. Sasa hivi ili usidhulumiwe elimu ni muhimu, ujadili mipango ya maendeleo na wengine unahitaji elimu ili kufanya rejea, inaendelea hivyo hivyo.
Jana katika Bunge la JMT kwenye mjadala wa Escrow tumeshuhudia uwezo mdogo wa uelewa uliokuwa unaonekana kutoka kwa baadhi ya Wabunge hasa kwa Lusinde, Chombo na yule mama wa viti maalum. Kupoteza muda kuchangia kitu ambacho hata hukielewi ni uharibifu wa muda lakini kanuni zinaruhusu mbunge kuchangia bila kujali anaelewa asemacho au la.
Hapo ndio suala la Elimu linapokuja, mtu mwenye elimu hata siku moja hajiingizi kwenye mjadala ambao hana hata moja analolielewa. Na hicho kigezo cha kujua na kusoma tuu kama kinavyendekezwa na katiba yao kitatuzalishia Wabunge kama tuliowaona jana wengi na kupelekea kushindwa kuelewa nini kinaletwa mbele yao.
kwa sakata la escrow,ccm wamejiwekea kuti kavu katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguz mkuu ujao.ccm itapoteza viti vingi sana na hata nafasi ya urais wanaweza kuikosa au kupata kura ndogo sana