Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

kwa upuuuzi huu ulioanza ni bora mtu ukatumia muda wako kwenye majukwaa ya mapenzi na mahusiano utoe stress,kuliko upuuzi huu.
yaani wajumbe wako 10 alafu kura zipigwe ziwe 12.hizo mbili zimekuja kwa mazingaumbwe au uwezo wa roho mtakatifu?. hii ni headache.

wajumbe wapo 629 na waliokuwepo bungeni wakati wa kupiga kura walikuwa 500+ Kwa hyo inawezekana wajumbe wengine walikuwa wa nje wakati wa kuhesabiwa na upigaji kura that why ukatokea huo mkanganyiko.
 
Kificho ndio Mwenyekiti wa muda wa bunge maalum la katiba kwa kupata kura zaidi ya 300.
 
wajumbe wapo 629 na waliokuwepo bungeni wakati wa kupiga kura walikuwa 500+ Kwa hyo inawezekana wajumbe wengine walikuwa wa nje wakati wa kuhesabiwa na upigaji kura that why ukatokea huo mkanganyiko.

Kama walikuwa nje, walipataje karatasi za kupigia kura?!!
 
Back
Top Bottom