Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

kwa kiasi gan lowasa anakubalika kiasi kwamba afike nakupewa urais bila kupingwa ndan ya ukawa!? Inamaana asngekuja hakuna ambaye angechukua fom CDM? km anadai ccm hakuna demokrasia kwa kutoa majina matano mfukon, je cdm wametoa jina moja tu ndo kunàdemokrasia? au kwakua kawekwa yeye? Je mkutano mkuu wa leo unakaz gan?
 
kwan mfumo ni kitu ambacho kipo pale kinachosababisha ufisadi?. mfumo si ni watu hao hao kina lowasa na marafiki zake ndo wamefanya ufisadi sasa unategemea mfumo up ambao utaondolewa?

Acha kukariri Lowassa kaondoka madarakani toka 2008 je ulipungua au kukoma? Lakini uliendelea kuwepo kwa sababu ya mfumo uliokuwepo unaruhusu ufisadi.

Hebu nipe tuhuma nyingine kati ya zile maarufu zilizopata kutokea hapa nchini ambazo Lowassa amehusika? Hatutaki maneno ya akina Nape tukaririshwe wote mfumo uliowekwa na CCM unakumbatia ufisadi na tunaupinga tena kwa msukumo wa Lowassa kama chachu,hutaki simple .... malimau
 
Tuteseniii tu ilaa mwisho wao umekaribia......

Jamaniii tupenii update mliopo ukumbini au mnao angalia kupitia Azam tv..
 
Mambo yanazidi kupamba moto ndani ya UKAWA, baada ya SLAA kutoonekana kwenye matukio yote muhimu ndani ya CHADEMA tangu LOWASSA aingie CHADEMA.
Vivyo hivyo leo katika ukumbi wa Mlimani City ambako unafanyika Mkutano Mkuu wa CHADEMA wa kumtangaza Lowassa kuwa mgombea Urais kupitia CHADEMA, Mgombea mwenza wa UKAWA kutoka Chama cha Wananchi(CUF), Prof. Ibrahim Harouna Lipumba hajahudhuria mkutano huo. Tayari Vyanzo vya habari hususan Magazeti ya leo, vimeandika kuwa kuna SINTOFAHAMU ndani ya CUF baada ya professa kuhoji hatma ya CUF ndani ya UKAWA na Maalim Seif Sharif Hamad kusema kama LIPUMBA haoni hatma ya CUF ndani ya UKAWA, wao Zanzibar wanaona hatma yao.
Aidha kuna taarifa kuwa CHADEMA wameahidi kugharamia Kampeni za CUF kule Zanzibar huku, JUMn DUNI HAJI akinunuliwa kwa mil.550 ili akubali kuhamia CHADEMA ili awe Mgombea mwenza wa LOWASSA ambapo katika kikao cha jana alikabidhiwa mil.50 na leo baada ya kutangazwa kuwa Mgombea mwenza wa CHADEMA atakabidhiwa mil.500.
Tusubiri tuone yatakayojiri baada ya hapo.
una nyege wewe!
 
hata sheria za nchi hujui, unaharisha tu!
 
WanaJF,

Leo ni tarehe 4/8/2015 siku ya Jumanne.Ni alfajiri njema kabisa ambapo Taifa litasimama wakati likishuhudia mkutano mkuu wa CHADEMA mshirika wa UKAWA utakaokuwa na kazi moja kubwa ya kumpitisha mgombea pekee wa Urais kupitia CHADEMA na UKAWA.

Jina pekee mpaka sasa lililopitishwa na vikao vya juu ni la Kamanda mpambanaji Mzee wa maamuzi magumu Edward Ngoyai Lowassa.Jina hili ndilo litawasilishwa kwenye mkutano mkuu ili kupigiwa kura.

Waziri Mkuu huyo wa zamani anatarajiwa kutoa hotuba mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu na mbele ya Taifa.Hotuba inayotarajiwa kuwa mwongozo wa Tanzania tunayokwenda kuijenga kuanzia Oktoba.

Timu nzima ya wapashaji habari wa CHADEMA ikiongozwa na Tumaini Makene ,Molemo ,Standalone na wengine kadhaa imepiga kambi usiku kucha hapa mlimani city ili kuwaletea kila kitakachojiri.Tunatarajia vituo kadhaa vya Televisheni kama ITV,Chanel Ten,Azam TV na radio kadhaa ikiwemo Radio One kurusha matangazo haya moja kwa moja kuanzia saa 5 asubuhi..

Karibuni sana

Ukumbi wa mlimani City unavyoonekana kabla ya wajumbe kuingia:
11229406_1639934206254065_1277029923211371118_n.jpg

Jaribuni kumpitisha huyo mwizi aliyekimbilia kwenu muone kama hicho chama kilichojengwa miaka 20 kisipofutika ndani ya siku 1 tu.
 
WanaJF,

Leo ni tarehe 4/8/2015 siku ya Jumanne.Ni alfajiri njema kabisa ambapo Taifa litasimama wakati likishuhudia mkutano mkuu wa CHADEMA mshirika wa UKAWA utakaokuwa na kazi moja kubwa ya kumpitisha mgombea pekee wa Urais kupitia CHADEMA na UKAWA.

Jina pekee mpaka sasa lililopitishwa na vikao vya juu ni la Kamanda mpambanaji Mzee wa maamuzi magumu Edward Ngoyai Lowassa.Jina hili ndilo litawasilishwa kwenye mkutano mkuu ili kupigiwa kura.

Waziri Mkuu huyo wa zamani anatarajiwa kutoa hotuba mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu na mbele ya Taifa.Hotuba inayotarajiwa kuwa mwongozo wa Tanzania tunayokwenda kuijenga kuanzia Oktoba.

Timu nzima ya wapashaji habari wa CHADEMA ikiongozwa na Tumaini Makene ,Molemo ,Standalone na wengine kadhaa imepiga kambi usiku kucha hapa mlimani city ili kuwaletea kila kitakachojiri.Tunatarajia vituo kadhaa vya Televisheni kama ITV,Chanel Ten,Azam TV na radio kadhaa ikiwemo Radio One kurusha matangazo haya moja kwa moja kuanzia saa 5 asubuhi..

Karibuni sana

Ukumbi wa mlimani City unavyoonekana kabla ya wajumbe kuingia:
11229406_1639934206254065_1277029923211371118_n.jpg

============

Wajumbe wa Kamati Kuu wameingia ukumbini kwa muda wa dakika kadhaa zilizopita.

Hivi sasa Edward Lowassa anaingia ukumbini akiwa akiambatana na John Mnyika, Freeman Mbowe, Salum Mwalimu.

Tayari wamekaa meza kuu na wanasubiri kupewa ratiba. Mshehereshaji anamsifia Lowassa na kuwaambia wajumbe kuwa mabadiliko ni sasa. Wajumbe wanashilia na kusema Rais ni Lowassa 2015 -2020.

Wajumbe wanasimama na kuimba wimbo wa Taifa na baada ya wimbo wa Taifa unaoimbwa na timu ya Movement for Change viongozi wa dini watasimama na kutoa salamu.

Viongozi wa dini wanaenda jukwaani kwa ajili ya kutoa dua kukabidhi tukio hilo mikononi mwa Mungu kwamaana UKAWA wanaongozwa na Mungu kwa kila jambo.

Tupo LIVE AZAM 2, na Jembe la ukweli.....CCM Mbele kwa Mbele
 
Chadema chama cha kina aunt bilali. Watu wa chadema wengi wanatabia kama za Obama na helton John na George Michael.
 
Kwann mmetuaminisha ITV watakuepo hewan afu hawapo si bora tungeendelea na ratiba zetu
Ujinga
 
Sio itv wanakata ni wenye nchi lakini haisadii mungu ni mwema anaona kila kitu .ccm wameishiwa mbinu wanatapatapa tu .wasubiri goli la mkono walilozoea.
 
Back
Top Bottom