chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,011
Ninasikitika kwamba jimbo la kigoma mjini chadema watashinda..... Hii imetokana na utafiti uliofanywa na Gft....
Imeoneshwa kwamba jimbo hilo siasa zinaendeshwa kidini... Hapa namaanisha kwamba kura za Kaburu (ccm) ambaye ni mwislam na ndugu yangu Zitto hazitaongezeka.... Zinabeba zaidi kura za mwandiga na Ujiji....
Sasa kuna huyu anayeitwa Daniel ...Mwanasheria... Anaonekana kuungwa mkono na wana chadema...wana ccm...na wasio kuwa na vyama...huyu ndiye atakaye kuwa mbunge wa kigoma mjini
Zitto jambo linalomghalimu ni ile hali ya kuhama jimbo ...zitto hasemi ni kwa nini amehama jimbo lake la kale....
Tusubiri
Hiki unachosema nimesikia kwa kiongozi mmoja wa dini ya kikristo