Yaliyojiri ACT-Wazalendo huko Kigoma

Yaliyojiri ACT-Wazalendo huko Kigoma

Hawa wakipata hata kura laki tatu nchi nzima, jua litahama njia
 
wakipata wabunge ata mmoja apo ndipo unaweza ukasema ni chama ila kwa sasa icho sio chama ni kama washabiki ambao wanawaangalia wakimbiaji
Sio chama mbona kimesajiliwa..na taarifa yako kilipata usajil wa kudum sinc last year...ww kwa ajil yako ndogo chama ni kip? wapate ruzuku kwan walishashirik uchaguz mkuu gan
 
Hivi ACT wanapa wapi hela za kampeni?
Ukiacha zile ruzuku wanazopewa kama chama ambayo ni hela ndogo sana
 
Ikitokea Zitto apate wabunge 3 ,halafu pia itokee Dr Slaa kwa hasira alizonazo ahamie ACT,pamoja na Lipumba.
Zitto atasumbua kwenye urais come 2020.

Acha mawazo mgando ww ongelea wabunge kuanzia 30
 
Ninasikitika kwamba jimbo la kigoma mjini chadema watashinda..... Hii imetokana na utafiti uliofanywa na Gft....

Imeoneshwa kwamba jimbo hilo siasa zinaendeshwa kidini... Hapa namaanisha kwamba kura za Kaburu (ccm) ambaye ni mwislam na ndugu yangu Zitto hazitaongezeka.... Zinabeba zaidi kura za mwandiga na Ujiji....

Sasa kuna huyu anayeitwa Daniel ...Mwanasheria... Anaonekana kuungwa mkono na wana chadema...wana ccm...na wasio kuwa na vyama...huyu ndiye atakaye kuwa mbunge wa kigoma mjini

Zitto jambo linalomghalimu ni ile hali ya kuhama jimbo ...zitto hasemi ni kwa nini amehama jimbo lake la kale....

Tusubiri

Kitachoigharimu CHAGADEMA ni kufukuza viongozi wote waliokuwa wakikemea UFISADI kAMA zITTO KABWE NA Dr Slaa.

Hii nidhambi kubwa itayoigharimu CHAGADEMA. Leo EL tunamsikia kupiga kampeni ya Walutheri , haya chanja mbuga , kumbe wako badpo palepale- UDINI.
 
Ninasikitika kwamba jimbo la kigoma mjini chadema watashinda..... Hii imetokana na utafiti uliofanywa na Gft....

Imeoneshwa kwamba jimbo hilo siasa zinaendeshwa kidini... Hapa namaanisha kwamba kura za Kaburu (ccm) ambaye ni mwislam na ndugu yangu Zitto hazitaongezeka.... Zinabeba zaidi kura za mwandiga na Ujiji....

Sasa kuna huyu anayeitwa Daniel ...Mwanasheria... Anaonekana kuungwa mkono na wana chadema...wana ccm...na wasio kuwa na vyama...huyu ndiye atakaye kuwa mbunge wa kigoma mjini

Zitto jambo linalomghalimu ni ile hali ya kuhama jimbo ...zitto hasemi ni kwa nini amehama jimbo lake la kale....

Tusubiri

Uhakika wa zitto kushinda ubunge ni mkubwa sana, jamaa yuko vizuri kujenga hoja na kushawishi wananchi.

Alichokifanya zitto ni kama ilivyo kwa mnyika tu japo mnyika jimbo lake lilikuwa sehemu moja kabla ya kugawanywa, kwahiyo zitto ameamua kuliachia jimbo la kigoma kaskazini ili awe na uhakika wa kuongeza jimbo lingine kwa kuwa anajua jimbo hilo ni ngome yake na yeyote atakayemuunga mkono atashinda.
 
Kwa kigoma hakuna udini wala ukabila pale zito anapita bila wasiwasi. Tatizo la zito kuhamia kigoma mjini sio hoja yakumuangusha Zito kwani ijulikane kwamba Zito ni m'bunge anaye julikana Tanzania nzima na mwenye sifa nzuri za uongozi pia katika mkoa wa kigoma hakuna sehemu ambayo hawamjuwi zito na kabla ya kuhamia kigoma mjini aliisha tembelea majimbo yote ya kigoma na anakubalika sana, na mjuwe huu ndio mwisho wa chadema katika mkowa wa kigoma kwani %kubwa ya wanao jiunga ACT wanatoka Chadema.
 
Back
Top Bottom