Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Bibie@AshaDii huyu Mwanamke hana mapenzi na mume wake kazi yake tu kufikiria kujipamba yeye. hamfikiri mume wake yupo katka hali gani kimaisha? Wapo wanawake wengi haswa hao wanaoishi mjini Tabia zao zipo hivyo wanawaona kila siku waume zao wanazo pesa kasheshe kweli na hii dunia yetu.hahaha! Ina maana honey wake haelewi wala hasomi nyakati aelewe honey wake hana pesa? U honey wa wapi huo.. Lol.