NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
Wajameni mafuriko nusura yachomoe uhai wangu. Shukrani kwa wote mlionisaidia akiwepo JS ambaye amekuwa karibu yangu sana na kunikarimu mambo mengi kipindi hichi kigumu. Nashukuru kwa Kongoro za Geof na Fidel zimenipa nguvu. Chrispin ndio aliyekuja kunichukua na stout yake kutoka Kilosa.
Nimerudi jijini nitoe msaada kama shukrani za kunusurika sasa nimeota manyoa uso mzima see atached photo as evidence.
Nilitegemea sms kutoka kwa Kloroquin na Burn lakini sikupata hata beep/missed call.
Wajameni mimi nipo nikimalizana na haya matatizo nitarudi rasmi. Shukrani wote kwa kunikumbuka. Tupo pamoja.