Yaliyo NISIBU

Yaliyo NISIBU

Duh ina maana hayo manyoya usoni yameota baada ya kula kongoro???, au sababu ya kuokoa kwenye mafuriko au ulitoa chochote pale salander bridge???
 
Sasa Nguli ni hivi. Nakushauri upite pale kwa Mama Pendoo Cosmetics uchukue product moja hivi inaitwa "VEET" unapaka mwili mzima kote ulikoota hayo manyoya halafu ndio utinge mtaani.
 
Welcome baak, welkam bak, welcome bak, welkam baak. (remember mase yo)
 
Kamanda pole bwana, usisahau kuweka "ikingi"kwenye hiyo supu ya kongoro. Kitoochi kinapanda, na kisusio je?
 
Wajameni mafuriko nusura yachomoe uhai wangu. Shukrani kwa wote mlionisaidia akiwepo JS ambaye amekuwa karibu yangu sana na kunikarimu mambo mengi kipindi hichi kigumu. Nashukuru kwa Kongoro za Geof na Fidel zimenipa nguvu. Chrispin ndio aliyekuja kunichukua na stout yake kutoka Kilosa.

Nimerudi jijini nitoe msaada kama shukrani za kunusurika sasa nimeota manyoa uso mzima see atached photo as evidence.

Nilitegemea sms kutoka kwa Kloroquin na Burn lakini sikupata hata beep/missed call.

Wajameni mimi nipo nikimalizana na haya matatizo nitarudi rasmi. Shukrani wote kwa kunikumbuka. Tupo pamoja.

Pole sana, sasa manyoya yamesababishwa na mafuriko au ni mkono wa mtu kama yule dada tuliesikia alitoa msaada kwa ombaomba mkono ukajaa manyoya? Hebu tueleze mkuu
 
Kijana inabidi uowe sasa! Karibu Zenj kuna wale waliokuwa bado wapo wapo!
 
Nafikiri mnaniona nilvyobanwa na kazi.

Dah pole sana mkuu Nguli kwa kazi za kujenga taifa mi naona ungeendelea kujichimbia huko huko mafichoni ukilitumikia taifa kwa ukaribu mno kama ufanyavyo hongera sana.
 
Dah pole sana mkuu Nguli kwa kazi za kujenga taifa mi naona ungeendelea kujichimbia huko huko mafichoni ukilitumikia taifa kwa ukaribu mno kama ufanyavyo hongera sana.
Leo ulifungiwa gesti gani?
 
Pole sana Nguli. Mshukuru Mungu uhai bado upo, mengine yataendelea tu
 
Back
Top Bottom