Yaliyo NISIBU

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Wajameni mafuriko nusura yachomoe uhai wangu. Shukrani kwa wote mlionisaidia akiwepo JS ambaye amekuwa karibu yangu sana na kunikarimu mambo mengi kipindi hichi kigumu. Nashukuru kwa Kongoro za Geof na Fidel zimenipa nguvu. Chrispin ndio aliyekuja kunichukua na stout yake kutoka Kilosa.

Nimerudi jijini nitoe msaada kama shukrani za kunusurika sasa nimeota manyoa uso mzima see atached photo as evidence.

Nilitegemea sms kutoka kwa Kloroquin na Burn lakini sikupata hata beep/missed call.

Wajameni mimi nipo nikimalizana na haya matatizo nitarudi rasmi. Shukrani wote kwa kunikumbuka. Tupo pamoja.
 
Attachments

  • 4251581_5224b3cc84_m[1].jpg
    4251581_5224b3cc84_m[1].jpg
    30.4 KB · Views: 296
  • MSIKITI KUZUNGIERWA - 2[1].JPG
    MSIKITI KUZUNGIERWA - 2[1].JPG
    29.4 KB · Views: 176
  • nje kilosa[1].JPG
    nje kilosa[1].JPG
    38.6 KB · Views: 166
  • NYUMBA KUANGUKA[1].JPG
    NYUMBA KUANGUKA[1].JPG
    31.6 KB · Views: 152
  • manyoya special.bmp
    488.3 KB · Views: 201
Pole nguli, kweli vekesheni yote ikaharibika!!!!
the gud thing is that you are still alive!!!
 
Pole kaka haya kweli ni maafa, naelewa situation uliyonayo take your time, pole sana.
 
Kweli Mkuu
Kama ni weye huyo kwenye picha,hakuna sababu ya kukulaumu!
Karibu sana Mkuu, nafasi yako hakuna aliyeweza kuiziba!
 
Duh..afadhali..Preta hebu do ze nidiful, fanya utaratibu wa kongoro bomba apo na ndimu na pilipili, angala kwanza apate nguvu

mafuriko siyo mchezo!
 
Unajua hommie, watu walikuwa wanafanya masihara nilivokuwa nawaambia maswahibu yaliyomkumba huyu kijana wetu. Thanks God he is back! Vipi pale kwa ankal unaweza kufanya the needful kijana akawekewa kongoro la kitimoto na nguli moja kubwa la baridi?

Welcome back kijana wetu! Fita ni Fita Mura!
 
karibu sana!tukutane na leo basi pale manzese KWA MJAPANI tukamate kongoro la kitimoto
 
Duh..afadhali..Preta hebu do ze nidiful, fanya utaratibu wa kongoro bomba apo na ndimu na pilipili, angala kwanza apate nguvu

mafuriko siyo mchezo!

nimeshaandaa mpango mzima...mida mida hivi atalipata...vipi niweke na kachumbari?
 
kachumbari kama kawaida itakosaje..kijana amekosa ivo vitu in fact (nigerian accent) anaweza kuwa na utapiamlo! so do ze nidiful
 
Wajameni mafuriko nusura yachomoe uhai wangu. Shukrani kwa wote mlionisaidia akiwepo JS ambaye amekuwa karibu yangu sana na kunikarimu mambo mengi kipindi hichi kigumu. Nashukuru kwa Kongoro za Geof na Fidel zimenipa nguvu. Chrispin ndio aliyekuja kunichukua na stout yake kutoka Kilosa.

Nimerudi jijini nitoe msaada kama shukrani za kunusurika sasa nimeota manyoa uso mzima see atached photo as evidence.

Nilitegemea sms kutoka kwa Kloroquin na Burn lakini sikupata hata beep/missed call.

Wajameni mimi nipo nikimalizana na haya matatizo nitarudi rasmi. Shukrani wote kwa kunikumbuka. Tupo pamoja.

Pole na karibu. Hiyo mask ya manyoya babu kubwa. Angalia majambazi na vibaka wasikutafute ili uwaagizie duka ulilonunulia!!!
 
Pole Nguli kweli mimi nilisoma uumbe wa Crispin nikaona anatutania..Pole sana mkuu!
na karibu tena nyumbani ujisikie uko sebuleni...
 
karibu sana!tukutane na leo basi pale manzese KWA MJAPANI tukamate kongoro la kitimoto
Nachokupendea bwashee, kwenye suala la menyu hauna masihara!

nimeshaandaa mpango mzima...mida mida hivi atalipata...vipi niweke na kachumbari?
:D:D!!

Pole Nguli kweli mimi nilisoma uumbe wa Crispin nikaona anatutania..Pole sana mkuu!
na karibu tena nyumbani ujisikie uko sebuleni...
Siku nyingine usiwe kama Tomaso Kiongozi!

Utani mwingine bana......yakikukuta kweli........
Tomaso huyu hapa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom