Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,075
Atapokelewa China, kama balozi mpya nchini humo, huko watampokea tu.Kiukweli Prof Muongo amefika mwisho, hataaminika tena. Hakuna chuo kikuu kitakachompokea wala mashirika ya kimataifa kwa vile amenyea kazi ya uwaziri. CV ya Muhongo kwishney. Salama yake ni ndani ya sisiem masilahi tu. Usishangae hata ubalozi asipokelewe na nchi atakayopelekwa, labda Somalia na vijiinchi vyenye sifa kama hizo
Si unajua nchi hiyo imewekeana saini mikataba ya gesi na serikali ya nchi yetu, ambayo wameifanya ni SIRI kubwa, ambayo Muhongo alikataa hata wabunge, ambao ni wawakilishi wa wananchi wasiione?!