Huna cha kujibu hapo.
Hapo wametumia principal estimations tu kama walivokuwa wameziremba kwa WAZIRI MKUU.
Kimsingi,walioshiriki zaid ni watendaji. sio kina Muhongo/Pinda.
Watendaji ndio walohusika. Si muhongo.
mlivyomuandama Muhongo utadhani yuko peke yake kwenye huu msala
Majungu at work
Wewe nani wewe ?hii nchi sio ya mama yenu ...hatuwezi kumtoa mhongo eti sababu ya mengi na mkono wao nani nchi hii mtaimba sana mtaandika sana mtachomeka sana mhongo na pinda hawatoki
Hapo wametumia principal estimations tu kama walivokuwa wameziremba kwa WAZIRI MKUU.
Kimsingi,walioshiriki zaid ni watendaji. sio kina Muhongo/Pinda.
Watendaji ndio walohusika. Si muhongo.