Yaliovuma wiki hii na kusababisha kusahaulika kwa mambo ya msingi Kitaifa

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Habari wadau?

Katika wiki hii yametokea mengi sana kama kuzuia maandamano ya CUF , sekeseke la Amboni Tanga ndio habari ya mjini sasa, Mh. Wassira kuvaa koti vibaya n.k ambayo kimsingi yamefunika issue kubwa za kitaifa, kama mahakama ya kadhi, katiba na maandamamo mbalimbali n.k

Ili tuendelea kuyakumbuka yaliosahaulika tuyaweke hapa tena.
 
Back
Top Bottom