Ilitokea nikanunua na mimi ile kitu kutoka kwa wafanya biashara wale wa usiku, kutahamaki asbh nimeamka salaale sikuti laptop yangu, simu mbili, dola 250 za kimarekani, na laki unusu ambazo alitoa kwenye wallet. Nimeamua nifunguke baada ya kaka malima nae kuamua kuweka wazi yaliyompata, ila akumbuke vizuri inawezekana na yeye aliondoka na mfanyabiashara akaamua kumlamba kaka mkubwa. All in all pole sana kaka malima. Mdogo wako baada ya hapo niliachana kabisa na izo mambo
Hivi inakuaje unamwalika mfanya biashara na unampa access kwa vitu valuable kama hivyo?
huyo anaenda na hicyo vifaa ili akaoshe kwa mtoto bila kujijua kuwa anaosha kwa mwiziUnapaswa kuwa mteja bahili! Unapokwenda kwenye biashara hiyo tafuta neutral groung paspo na mavitu vyako. Biashara hiyo inataka uwe na ule mtaji mliokubaliana tu!
unafanyaga au and viveversa?hajui ile staili ya kusogeza kitanda mlangoni?
Aje tumpe twisheni.