Yale yale ya mwaka 70

Yale yale ya mwaka 70

we sijui ni form 2, maana vitu vingine haviitaji ushauri
 
najua una uamz unaotamn kuutekeleza lakn unahis kuacha kovu kumbwa katka moyo wako,kiukweli atakuwa na mtu mwingne.
Chakufanya mwambie akuweke waz then uchukue hamsin zako.
 
Huyu dada hakumpenda tangu mwanzo. Na alionyesha dalili zote, ila ndo hivyo jamaa hakushtuka.
 
Hivi kila siku tuwe tunajibu swalo hili tuu! Kwani wanatofautiana haoo...
 
Back
Top Bottom