Yale maji kwenye Maporomoko ya Udzungwa yanatoka wapi?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,166
Reaction score
2,670
Kitu ambacho najiuliza, yale maji yanatoka wapi wakati ule ni Mlima kabisa wa Udzungwa

Wajuzi mnisaidie yale maji yanatoka wapi kule juu mlimani kuna nini?
 
Hahahaha mzee baba ulikimbia umande? Geography hukusoma kabisa? Mito na maziwa huwa na vyanzo vingi vya maji...mojawapo ya source ni milima,na hiii ni kwasababu milima mingi inakua na hali ya hewa ya aina yake kutokana na hili utakuta muda mwingi mvua hazikauki...hili la udzungwa inawezeka kuna natural springs,bogs au snow kama ilivyo kwa mlima kilimanjaro
 
Kule Kyela,rungwe kijijini kabisa pale siku zote tulikunywa maji safi toka nilizani,wakongwe waliweka muanzi uliochongwa nusu km mrija toka hapo juu kidogo kisha chini mnakinga km bomba na ndio maji tulikua tunapikia na kunywa.
Kuoga na kufua nje hapo hm kijijini kulikua na mfereji direct toka rungwe na wote tuliokaa mkondo huo tulitumia maji hayo iwe kuoga au kufua.
Alhandulilah siku hizi ule mfereji haupo na wanakijiji walipitiwa wakachangishwa wamefungiwa mabomba so maji ni masafi na safe kabisa hatuna haja hata kwenda kule kwenye bomba la muanzi.
Hizo ni nature mzee jiongeze sio kusikiliza bolingo za mopao mokonzi tu.
 
Nachopendeaa kule kwetu kk nikuwa hakuna billi za maji za kila mwez

Au pia influence ya volcano (magmatic springs)
 
Back
Top Bottom