Yale Magari ya MAHINDRA ya CCM yalikwenda wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yale Magari ya MAHINDRA ya CCM yalikwenda wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANAWAVITTO, Jul 29, 2012.

 1. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Naombeni mniambie yale MAGARI YA MAHINDRA yaliyogawanywa nchi nzima kwenye ofisi za ccm takribani magari 400, yalikwenda wapi?

  Nakumbuka DR SLAA aliyataja kuwa ni Miongoni mwa FEDHA za EPA zilizoibiwa.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Bado yapo katika baadhi ya maeneo, mengi nimeona yamechoka mbaya!
   
 3. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  maeneo gani mkuu!
   
 4. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,757
  Likes Received: 6,048
  Trophy Points: 280
  Mkuu baadhi yamekufa na mengine bado yanasuasua. Kwa wale wanaoishi karibu na vigogo wa magamba yumkini watakuwa wameyaona yakiendeshwa na "shamba boys" kwa ajili ya kubebea nyasi za mifugo na mashudu au pumba za nguruwe na kuku. In short wamegawana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya matumizi hayo.
   
Loading...