Mimi ni balozi wa femina tokea enzi hzo, nimefanya nao kazi na akina Fuglesang, Amabilis Batamla, Glory, Zakaria , Mwanzo Milinga, na baadaye tuliandika kitabu kiitwacho "yaliyopita si ndwele" kilichokuwa kimesheheni shuhuda za watu wenye vvvu...
Femina hip ilibadilishwa na kuitwa fema hip (female and male health information project), nakumbuka tulianza kutumia jina hlo kwa mara ya kwanza mwaka 2007 kwenye mkutano wa vijana, mgen rasm alikuwa Mh. Salma Kikwete na waziri wa elimu wakati huo Magreth Sitta, mm nilikuwa mmoja wa watoa mada pale silver sand hotel dsm kwa muda wa wiki moja.
Magazeti yapo lakini hayasambazwi kwa wingi kutokana na wahitaji kuwa wengi na gharama ya uendeshaji kuwa kubwa.