Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,301
- 65,098
Jambo la heri sana Mkuu 😅Sana Mzee mwenzangu 😂
Mara nyingi nikiona story huwa napendelea kuzisoma hata kama zinaonekana za kitoto 😂.
Jambo la heri sana Mkuu 😅Sana Mzee mwenzangu 😂
Mara nyingi nikiona story huwa napendelea kuzisoma hata kama zinaonekana za kitoto 😂.
Sana!Jambo la heri sana Mkuu 😅
Kumbe we ni Mzee🤣🤣🤣🤣DJ Tee alikuwa noma sana, alikuwa na kipindi cha redio kiitwacho Shujaaz Radio Show kila Jumamosi kupitia East Africa Radio na TBC FM.
Pia Mimi na uzee wangu nilikuwa nasoma sana majarida ya FEMINA HIP ambayo wajukuu walikuwa wanatoa nayo shuleni.
Watu walikuwa wananishangaa sana nilipokuwa nasoma story ambazo wao waliniita za kitoto 😂
Dr am 4 real PhD Monetary doctor Grahams.
Sana tu mbona 😂Kumbe we ni Mzee🤣🤣🤣🤣
Sumbai leo ndo nimeona comment yako kwenye thread tofauti na kule kwenye ufalme wako wa je ulishawahi kula tunda kimasihara ? 😄Nakumbuka saana those years nikiwa form one na form two nilivisoma saana
Nilitaman siku moja wafike shuleni kwetu nasisi tutokee kwenye gazet lao.
Nilitamani saana namimi niwe T.o niwekwe page ya mbele...
Kuna mrembo mmoja walimpost mwaka flan alikuwa t.o alikuwa anaitwa perpetua kisakwa.
It was inspirations to me.
😂😂😂😂Sumbai leo ndo nimeona comment yako kwenye thread tofauti na kule kwenye ufalme wako wa je ulishawahi kula tunda kimasihara ? 😄
Unaogopa utekaji 😄😄.😂😂😂😂
Nipo mkuu,
Kwingine naogopa kukoment si unajua watu wasiojulikana wamejaa kila sehem
Ndio maana naogopa saana
Yes Kaka watekaji hawafuatilii mambo ya Kula tunda kimasikharaUnaogopa utekaji 😄😄.
Ni sahihi umakini unahitajika kina mafwele wako kila kona.
DJ Tee alikuwa noma sana, alikuwa na kipindi cha redio kiitwacho Shujaaz Radio Show kila Jumamosi kupitia East Africa Radio na TBC FM.
Pia Mimi na uzee wangu nilikuwa nasoma sana majarida ya FEMINA HIP ambayo wajukuu walikuwa wanatoa nayo shuleni.
Watu walikuwa wananishangaa sana nilipokuwa nasoma story ambazo wao waliniita za kitoto 😂
Dr am 4 real PhD Monetary doctor Grahams.
Femina wapo as NGO ila kwa vipeperushi sidhani..
Vipeperushi vya FEMINA hapa nyumbani ninavyo vya tangu mwaka 2010.
Mimi ni balozi wa femina tokea enzi hzo, nimefanya nao kazi na akina Fuglesang, Amabilis Batamla, Glory, Zakaria , Mwanzo Milinga, na baadaye tuliandika kitabu kiitwacho "yaliyopita si ndwele" kilichokuwa kimesheheni shuhuda za watu wenye vvvu...
Femina hip ilibadilishwa na kuitwa fema hip (female and male health information project), nakumbuka tulianza kutumia jina hlo kwa mara ya kwanza mwaka 2007 kwenye mkutano wa vijana, mgen rasm alikuwa Mh. Salma Kikwete na waziri wa elimu wakati huo Magreth Sitta, mm nilikuwa mmoja wa watoa mada pale silver sand hotel dsm kwa muda wa wiki moja.
Magazeti yapo lakini hayasambazwi kwa wingi kutokana na wahitaji kuwa wengi na gharama ya uendeshaji kuwa kubwa.
Kila masika na mbu wake . Zama zimebadilika mkuu, hawawezi kutoa tena hivyo vijarida.
Now ni zama za Gen z vitu pendwa kwao ni social media ( tik tok, Instagram).
Wakileta tena vijarida watajikuta wanabaki navyo wenyewe.
Hizi ni zama za social media, audience kubwa ambayo ni vijana hata wazee wapo humo . Hii imeua kabisa vitu kama magazeti na hata radio stations , muuza magazeti kama shigongo atakuwa anajua hasara aliyopata under this new era of social media.
wazee wa djtee 255
Kumbe mallerina wewe ni gen z eeh ?Nakumbuka niilikuwa nayatumia kama reference kuchorea primary
Mkuu unamfahamu dada Bahati?Mimi ni balozi wa femina tokea enzi hzo, nimefanya nao kazi na akina Fuglesang, Amabilis Batamla, Glory, Zakaria , Mwanzo Milinga, na baadaye tuliandika kitabu kiitwacho "yaliyopita si ndwele" kilichokuwa kimesheheni shuhuda za watu wenye vvvu...
Femina hip ilibadilishwa na kuitwa fema hip (female and male health information project), nakumbuka tulianza kutumia jina hlo kwa mara ya kwanza mwaka 2007 kwenye mkutano wa vijana, mgen rasm alikuwa Mh. Salma Kikwete na waziri wa elimu wakati huo Magreth Sitta, mm nilikuwa mmoja wa watoa mada pale silver sand hotel dsm kwa muda wa wiki moja.
Magazeti yapo lakini hayasambazwi kwa wingi kutokana na wahitaji kuwa wengi na gharama ya uendeshaji kuwa kubwa.
Ongezea apo Og😹😹😹mwishoniKumbe mallerina wewe ni gen z eeh ?
Hahaha.Ongezea apo Og😹😹😹mwishoni