mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana JF,
Tangu Rai inunuliwe Watanzania tumeishiwa na hamu ya kusoma magazeti, zamani kulikuwepo waandishi nguli wasio waoga waliokuwa wanapambana na serikali kufichua maovu hata kama habari itawaweka matatizoni.
Siku hizi magazeti yote yamegeuka kuanza kuisifia serilali, au au kushadadia jabari za chama pendwa. Magazeti mengi yamejikita kwenye habari sizizona tafiti na kuishia kufungiwa, au wanatia habari kisha wanakuja kukanusha na kuomba radhi.
TSJ na vyombo vingine vimeacha kufundisha maandishi wa habari za kiuchunguzi au vyuo vinapokea wanafunzi wenye weledi mdogo, au waandishi hawaelewi wanayojifunza?
Wakina Jenerali Ulimwengu, Ndimara Tegambwage, Privatus Karugendo, Prince Bagenda hatuwezi kuwalaumu kwa kuwa sasa wamezeeka hawawezi kukimbizana tena mitaani kutafuta habari za kiuchunguzi. Juzi CAG alitaja mapungufu mengi kwenye wizara ya Utalii juu ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Muhusika anapeta na 2.5b na anajirusha mtandaoni kuwa mbona hajafanywa kitu kama kwamba CAG kasingiziwa. Waziri was Mambo mambo ya ndani mfukuzwaji and. Kangi Lugola yameongelewa mengi mpaka Leo yupo nje, ina maana habari za CAG zilikuwa za kizushi za unifomu hewa.
Mashirika ya uwekezaji kwenye madini, mikataba tata nayo hatuambiwi vipengele tulivyoingia mkenge na wahusika wake, ina maana NATO no safi? Mambo yote yamekuwa siri sasa tunageukia habari za vyama nani ananyifolewa nani anaingia, au habari za wqtu binafsi.
Tulikuwa tumebaki na mwandishi wa kujitwgemea lakini naye huwa habari ni za maswali ya kujiuliza, and Mayalla unatuangusha, habari unazijua lakini unaweka viulizo unaogopa nini?