Yakikutokea haya utajisikiaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yakikutokea haya utajisikiaje?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Watu8, Sep 7, 2012.

 1. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  1. Kijiko ulichotumia kula chakula kimelambwa na mbwa aliyetoka kula konokono muda si mrefu...

  2. Upo nyumbani na mkweo, ghafla ukiwa umetoka bafu la uwani kuoga mwanao mdogo anakufuata kwa furaha basi na wewe kwa misifa unamnyanyua na kumrusha juu. Hamad! wakati mtoto yupo hewani TAULO nalo linaanguka...

  Endeleza...
   
 2. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  siendelezi bana naona aibu!
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Aibu zingine za Kiunafiki mtupu! Tena unafiki wenyewe si wa miaka ya karibuni! Ni ule wa miaka ile ya Tanganyika African National Union (TANU)
   
Loading...