Yajue mataifa matano(5) yanayoongoza kwa nguvu za kijeshi duniani!

Tumeona su-35 na su-34 zinavyofany kazi vizur tu kule syria na wakati ni za bei rahisi ila f-35 ya bei juu hadi leo hatuelew mara inatakiw irudi tena kiwandani,mara sijui imefanyaje
 
#USA ana militiaryBase ngapi duniani???unajua gharama ya kurun militiarybase?
Sasa izo military base zinasaidia nini?.hitler alikuwa na base mpaka huku kwetu Tanzania lakini mwisho wa siku hasikusaidia kitu.na ubaya wa izo military base zinazokuw mbali na wew uwezi ukapelek siraha nzito maana unaweza ukawafaidisha watu wengine
 
Unapokuwa na battery defence system nzuri inamaanisha uwezo wa kushambuliwa ni mdogo. Urusi wamelihakikisha hill ardhini na sasa wamehamia angani. Ndege zao zilizo Syria zimefungwa na mfumo wa S-400 baada ya tukio LA ndege yao kutunguliwa na uturuki

Kinachompa Iran kiburi ni teknolojia ya Urusi. In short S-300 na S-400 ndo habari ya mjini kwa sasa
 
Sasa izo military base zinasaidia nini?.hitler alikuwa na base mpaka huku kwetu Tanzania lakini mwisho wa siku hasikusaidia kitu.na ubaya wa izo military base zinazokuw mbali na wew uwezi ukapelek siraha nzito maana unaweza ukawafaidisha watu wengine
Haya ya Hitler yana ukweli?
 
infact hayo mataifa mawili sidhani kama yanaweza kupigana hata cku moja wanaoumia n mataifa madogo ili hao jamaa waweze kuuza silaha zao...ivi kule #syria mrusi anatumia jeshi la #Angani au miguu na ikawaje #turkey akadungua ndege yake??na kule #Fallujah #mrusi alikuwepo?
 
haya ni mataifa mawili tofauti ila marafiki sana

Ndio, top technologists Marekani wanatoka Israel. By 2000 kulikuwa na takribani waisrael 6,000,000 Marekani wengi wao wakifanya kazi katika sekta mbalimbali za sciences na engineering. Sasa sisi wala vumbi ugunduzi wetu ni kula mbunye tu, wapi na wapi!
 
Mrusi angepigana vita zote alizopigana Mmarekani angeshafilisika vibaya
marekani kakimbia #vita gani na mrusi kashinda vita gani?kule vietnam ile ilikua #jungle war ambayo ni ngumu sana ndo maana hata libya baada ya kumsaidia #iddi amini alichapwa coz hajazoea vita ya msituni...
 
infact hayo mataifa mawili sidhani kama yanaweza kupigana hata cku moja wanaoumia n mataifa madogo ili hao jamaa waweze kuuza silaha zao...ivi kule #syria mrusi anatumia jeshi la #Angani au miguu na ikawaje #turkey akadungua ndege yake??na kule #Fallujah #mrusi alikuwepo?
Russia kabakiza jeshi la anga na base ndogo ya ardhini.

Ndege yake ilitunguliwa na turkey coz iliingia anga lake. In short haya mataifa yote yana maslahi pale Syria ndo maana yanahasimiana na kuhujumiana. Assad hatokaa atoke madarakani
 
Haya sasa tufanye marekani ni ya kumi,maana hata mchina huwa mnasema anamzidi mmarekani,haya furahini sasa marekani wa 10,
 
Back
Top Bottom