Yajue mambo 5 ya kushangaza kwenye simu yako ya Android

Hiyo haina madhara yoyote ni kwamba zile movement zinazotokea wakat unapo quit,au unapo run application flan sasa speed yake hapo ndo unaicontrol jinsi unavozidi kuongeza speed ya animation(maana yake ile animation inazdii kuonekana) kwahyo ukifungua lbd app fln utaona jns inavokua na ukipunguza speed unafanya ile animation inaonkan kidogo/kwa mbali kwahyo ww utaona ile app imewah kufunguka na ukiweka off kbsa ile animation inakua haipo na hyo setting ya developer ni mojawpo ya option iliyozuiliwa coz sio kila mtu atahtaji ndio maana wameruhusu uwez kui access kama ru utaamua kua developer, kwa maana nyingine n sawa na simu iliyokua rooted kwamba baadhi ya option android wamezizuia kwahyo wakaweka na ruhusa ya kuweza kuzipata izo option

So, haina shida ukitaka kuielewa zaid jarbu ku set 2 au 5 au urud nyuma ufungue baadhi ya apps uone zinavofunguka af rudi set 1 au 0.5 au off kbsa utaweza kuona mabadliko yatayokufanya uielewe iyo option ya animation scale vzr
Ahsante sana!
Naomba, na msaada wa trick nyinginezo! Thanks!
 
Usitumie walpaper yenye rangi nyingi au picha ya hd ya kupigwa na camera n heri utumia wallpapers org za simu au kama kuna pcha unaipenda unataka kuitumia i screenshot ndo uisave,
Pia usipende kutumia launchers za kudownload,
Usieke ma file mengi kwenye home screen eka zle muhmu tu kma sms,call,camera au browser
Pia usipende ku quit kbsa app ambazo unatumia mara kwa mara n bora uiache iwe ina run background kwasabab smu itatumia nguvu kubwa kui run(kuiwasha/kuifungua) kwahyo itafanya sm iwe slow sana sana app kma fb,camera,games ,whatsap au app zingne kubwa
 
MAMBO 5 YA KUSHANGAZA KWENYE SIMU YAKO android

Do more with your smartphone [emoji4]

Android ni mfumo wa nguvu Sana wa KUFANYA kazi ambao unaweza kutumiks kwa KUFANYA Mambo mengi zaidi ya matumizi yako ya kawaida Kama kuchart, kusoma, kupiga picha , kuperuzi mitandao ya kijamii Kama WhatsApp Instagram Facebook na kupiga simu.

Android iko tofauti na IOS , Zimeboreshwa kabisa na ni OS yenye uwezo na yenye nguvu ambayo inaweza kutumika kwa mengi
Ila sio kuangalia video za ajabu ajabu [emoji16][emoji16].

Leo nakueleza vitu 5 ambavyo unaweza kuvifanya na simu yako ya Android ambazo ulikua utambui au unajua [emoji856].

1 VOICE SEARCH with screen off
Utafutaji wa sauti na ikiwa screen imezimwa. Simu nyingi za smartphone (rununu) huweza kumruhusu mtumiaji kuweza kutafuta kitu kwa kusema Ok Google kutoka mahali popote kwenye Operating system ya simu yako utaweza kutafuta kitu chochote.

Simu mfano Kama infinix pia Zina msingi wa kujitolea wa kusikiliza zaidi ya sauti yako kuhurusu kutumia Ok Google hata wakati ambao skrini yako imezimwa!★.

Apple ilianzisha hiyo system majuzi juzi inayoitwa Hey Siri lakini huweza kufanya kazi tu wakati ambao simu inachaji au imeungwanishwa

Jinsi ya kuwasha Ok Google Kila wakati. Ingia Google setting>search and Now>voice>Ok Google detection> always on and flip the switch (daima iwashe na ubonyeze switch).

2 REMOTE LOCK AU WIPE YOUR LOST PHONE (Funga mbali au futa simu iliyopotea)
Ikiwa unapenda kutumia smartphone kama Mimi na ikatokea umeweza kupoteza simu yako ya smartphone. Android wamenusurika. Kwani Google Ina kipengele Bora kinachoitwa Android device Manager ambayo huweza kukuruhusu kupata simu yako na kuweza kufuta vitu kwenye simu yako [emoji4][emoji4] hata Kama hauna hiyo simu .

Jinsi ya ku enable Android device manager ingia setting Kisha >security>device Administrator na utaweza kutafuta simu yako kwenye kompyuta ikiwa umeibiw au kupoteza.

3. Scan barcodes/Documents
Smartphone yako Ina Camera ya nyuma ambayo huweza kuchukua picha zako za chakula au wewe mwenyewe umejipiga Kisha kupost mitandao. Ila umesahau kamera inaweza kutumika zaidi kwa malengo marefu ya uzalishaji wa faida pia kuliko kupicha picha tu.

Unaweza kutumia kamera ya nyuma Kama ku scan barcodes na ku scan documents (nyaraka) kwa urahisi tu kwa kutumia programi (app ) inayoitwa Barcodes scanner na CamScanner

Mbali na hizo kuna program nyingi zingine zinaweza kutumika kwenye soko la Play store Kama hizo juu[emoji115]

4. Access Chrome Tabs from other devices
Kama una wivu juu ya rafiki yako ambaye anatumia simu ya #Apple na anajivunia juu ya jinsi bidhaa hiyo ya apple inavyofanya kazi bila kushikamana. Jinsi internet tab zote za iPad Mac and iPhone zinavyoshikamana hata Kama ziko mbali[emoji4][emoji4].

Pia Android huweza kukuruhusu kufanya hivyo hivyo kupitia #Chrome ingia kwenye Chrome na Gmail yako unayotumia kwa vifaa tofauti tofauti. Utaweza kuona history bookmarks with all sync across all of them [emoji3581].

5. Make your device faster
Tunafahamu Raha ya simu hiwe speed Tena speed sio ya hile 2G au 3G hapana hapa ni mwendo wa 5G ila [emoji16][emoji16] sisemi kuhusu hiyo internet no yaan mfumo mzima wa simu kuongeza Kasi na kuweza kufurahia simu yako.

Muonekano wa animation nyingi kwenye simu yako upunguza Kasi ya speed ya simu yako kufanya kazi vyema. Hivyo huwepo slow wa simu yako upelekea kuwa na hasira [emoji34] hasa simu kuwa slow aisee.

Jinsi ya kuongeza Kasi ya simu yako[emoji4]
1.. Go setting
2.. click device info
3.. click on build Mara 7 au 6 times
4.. Kisha Rudi nyuma mpaka kwenye developer option utawexa kuiona Sasa
5.. kutakua na chaguo jipya inayoitwa Developer setting kwenye setting ya menu [emoji3581]
6.. tafuta drawing category na uweze ku set the following option to 0.5x -window animation scale , transition animation scale na animator duration scale.

Your is now faster [emoji4][emoji4] na utaweza kunishukuru baadae [emoji3581].

#share #likes na #comments [emoji1665][emoji1665][emoji1665][emoji1665]

Stop racism ubaguzi mwiko ubaguzi ni adui afai tupendane [emoji4][emoji4] tusaidiane ahsanteniView attachment 1468651
Hii simu yako una access vipi kwenye computer ili kuperform remote lock and wipe data?
 
Mkuu nakushukuru iko faster now

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom