Hiyo haina madhara yoyote ni kwamba zile movement zinazotokea wakat unapo quit,au unapo run application flan sasa speed yake hapo ndo unaicontrol jinsi unavozidi kuongeza speed ya animation(maana yake ile animation inazdii kuonekana) kwahyo ukifungua lbd app fln utaona jns inavokua na ukipunguza speed unafanya ile animation inaonkan kidogo/kwa mbali kwahyo ww utaona ile app imewah kufunguka na ukiweka off kbsa ile animation inakua haipo na hyo setting ya developer ni mojawpo ya option iliyozuiliwa coz sio kila mtu atahtaji ndio maana wameruhusu uwez kui access kama ru utaamua kua developer, kwa maana nyingine n sawa na simu iliyokua rooted kwamba baadhi ya option android wamezizuia kwahyo wakaweka na ruhusa ya kuweza kuzipata izo option
So, haina shida ukitaka kuielewa zaid jarbu ku set 2 au 5 au urud nyuma ufungue baadhi ya apps uone zinavofunguka af rudi set 1 au 0.5 au off kbsa utaweza kuona mabadliko yatayokufanya uielewe iyo option ya animation scale vzr