Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Naunga mkono hoja hapo pa BMW.
Hizo gari engine zake zilikua na tatizo la rod bearing na engine zilikua zikifika rpm kubwa zina blow.
All in all hakuna gari ambayo haina udhaifu.
 
Labda kuna ukweli ama la, but mafundi wetu wengi wenye ufundi wa kurithi toka kwa mjomba, sijui after std7 basi anashinda gereji after few years ni fundi, basi kitu ikimshinda anaanza gari mbovu, haifai, rumors zinatapakaa, jamani mafundi wetu muende shule, gari nyingi sasa hivi ni so electric mda sio mrefu wachina ndo watakua mafundi wetu
Kama hiyo toyota prius ni pure hybrid car.
Na ni gari la hybrid linaloongoza kwa mauzo duniani kuliko hybrid lolote.
Sasa kisa fundi hajui mfumo wake eti anakwambia bovu gari limeuza sana ulaya na.marekani
 
Kama hiyo toyota prius ni pure hybrid car.
Na ni gari la hybrid linaloongoza kwa mauzo duniani kuliko hybrid lolote.
Sasa kisa fundi hajui mfumo wake eti anakwambia bovu gari limeuza sana ulaya na.marekani
Sure kama hio inatumia umeme zaidi, sasa we ipeleke gereji za wagonga chuma uone.
Kama hawajasema hii gari mfumo wake mbovu unadhani wametengeneza wao
 
nilinunua gx 100 mwaka 2011, kuna mtu nilimuazima akapita nayo uchochoroni akaaribu antena ya mbele ambayo huwaka kwa kubonyezwa ndani.fundi kumpelelkea akaing'oa.
mara ya pili sait mirrow ilimuwa inatoa mrio wa mota kama haitali kuzima fundi akaikata waya ikawa upande mmoja inafunga mmoja haifungi..
nilipokuja jua mafundi wa karume,kiukweli vitu vingi nakiri walinihatibia gari wale wa kule jirani na kwetu.
ningewashauri waende na wakati.kuna siku ililetwa nissani fundi anasema hajuao anaanza wapi kufungua.anafikiria kufungua bila ya diagonosis ya kujua nini tatizo.
Ukweli ni kwamba mafundi wengi wa Tanzania hawataki kusoma na kubadilika, sio magari tu hata electrical, ni majanga sana
 
Mabovu kwa namna gani mbona watu wanayatumia na anaweza kaa nalo miaka na miaka halijamsumbua!! Kuna mshikaji ana hiyo Grand Cherokee hadi sasa ni mwaka wa 7 bado ngoma inadunda balaa.. Sasa najiuliza ni ubovu upi unaousemea?
 
Kitu cha msingi ni namna ya utunzaji wa gari unavyotofautiana kwa mtu na mtu ndio unaoamua uharibikaji wa gari.
 
Back
Top Bottom