Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

mk4

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
285
328
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kungia kwny mitandao na kununua gari, kwasababu ni rahisi sana siku izi, lakin ni watu wachache sana wanauelewa kuhusu magari wanayonunua
List inayofwata ni magari mabovu sana dunia na wateja wengi wamelalamika sana dunian kote.
Mbongo ndio husijaribu kabisa kununua coz ndio utateseka zaidi

1.Mazda RX8
2.Suzuki Verona
3.Land Rover Discovery (1999 to mid 2000s model)
4.Mini Copper (Mid 2000s model)
5.Land Rover Freelander
6.Mazda Millennium
7.Toyota Prius
8.Volkswagen Jetta
9.BMW E36
10.Jeep Grand Chorokee

Link for more information



 
Labda kuna ukweli ama la, but mafundi wetu wengi wenye ufundi wa kurithi toka kwa mjomba, sijui after std7 basi anashinda gereji after few years ni fundi, basi kitu ikimshinda anaanza gari mbovu, haifai, rumors zinatapakaa, jamani mafundi wetu muende shule, gari nyingi sasa hivi ni so electric mda sio mrefu wachina ndo watakua mafundi wetu
 
Back
Top Bottom