Daihatsu boon ndiyo toyota passo kwa kila kitu tofauti yake tu ni majina lakini ni gari lile liledaihatsu boon umeiacha
Kama hiyo toyota prius ni pure hybrid car.Labda kuna ukweli ama la, but mafundi wetu wengi wenye ufundi wa kurithi toka kwa mjomba, sijui after std7 basi anashinda gereji after few years ni fundi, basi kitu ikimshinda anaanza gari mbovu, haifai, rumors zinatapakaa, jamani mafundi wetu muende shule, gari nyingi sasa hivi ni so electric mda sio mrefu wachina ndo watakua mafundi wetu
mm ninayo tangu 2004 mpaka sasa ipo vizuriYani sijui wamelisahau vipi hili gari?
mm ninayo tangu 2004 mpaka sasa ipo vizuriOngezea Mitsubishi Pajero Mini!
Sure kama hio inatumia umeme zaidi, sasa we ipeleke gereji za wagonga chuma uone.Kama hiyo toyota prius ni pure hybrid car.
Na ni gari la hybrid linaloongoza kwa mauzo duniani kuliko hybrid lolote.
Sasa kisa fundi hajui mfumo wake eti anakwambia bovu gari limeuza sana ulaya na.marekani
Wabongo bwana wanataka kila gari liwe kama land rover 110Sure kama hio inatumia umeme zaidi, sasa we ipeleke gereji za wagonga chuma uone.
Kama hawajasema hii gari mfumo wake mbovu unadhani wametengeneza wao
Hii gari ni nzuri saana.....tatizo ni mafuta yetu na uelewa mdogo wa mafundi wetu kwenye mambo ya umeme wa magari.Pajero GDI
Usisahau kumuuliza na freelanderHiyo discovery ya mwaka gani?
Model gani maana ktk magari bora datsun ilikuwepo toka zamanai hata kabla ya kununuliwa na Nissan.Kwa ujumla magari ya ulaya hayawezagi mazingira tata alafu yanahitaji matunzo kama mtoto mchanga.Datsun nayo ni mabovu
Kwan boon engine tofaut na passodaihatsu boon umeiacha
Ukweli ni kwamba mafundi wengi wa Tanzania hawataki kusoma na kubadilika, sio magari tu hata electrical, ni majanga sananilinunua gx 100 mwaka 2011, kuna mtu nilimuazima akapita nayo uchochoroni akaaribu antena ya mbele ambayo huwaka kwa kubonyezwa ndani.fundi kumpelelkea akaing'oa.
mara ya pili sait mirrow ilimuwa inatoa mrio wa mota kama haitali kuzima fundi akaikata waya ikawa upande mmoja inafunga mmoja haifungi..
nilipokuja jua mafundi wa karume,kiukweli vitu vingi nakiri walinihatibia gari wale wa kule jirani na kwetu.
ningewashauri waende na wakati.kuna siku ililetwa nissani fundi anasema hajuao anaanza wapi kufungua.anafikiria kufungua bila ya diagonosis ya kujua nini tatizo.
engine plus drive train zote sawa ...nembo ya toyotaKwan boon engine tofaut na passo
nimecheka sana mkuuu kiboko yao L 200 old modelRVR au CVR sikumbuki vizuri, lakini zilikuwa zinaitwa kitchen party