Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Ongezea Mitsubishi Pajero Mini!
Tatizo nini? Labda udogo wa nafasi ndani lakini kagari kenyewe hakana shida. Nilikanunua kwa ajili bibi mkubwa mwaka 2013, miaka zaidi ya saba sasa wala akaja wahi kusumbua. Kaliwahi kupigwa (ajali) kubwa. Kaliumia sana laki bodi yake nayo siyo mbaya, asilimia kubwa ya bodi yake ni chuma tena chuma imara. Ila tu ni kweli vifaa vyake bei kubwa, lakini vinapatikana na genuine, ukiweka umeweka.
 
Back
Top Bottom