Yajue haya kabla ya kuingia kwenye ndoa

Yajue haya kabla ya kuingia kwenye ndoa

Ndoa haina formula
We ipeleke unavo weza, zaid uwe una ji assess mwenyewe tuu.
Na nimegundua kila mtu huwa ana iendesha ndoa kivyake
Umetisha mkuu. Tena kuna watu ndoa zao zinajiendeaha tu. Unakuta anayoyafanya hakupaswa kuwa na mke/mume lkn aaah ndoa yake unakuta ipo tu
 
Umetisha mkuu. Tena kuna watu ndoa zao zinajiendeaha tu. Unakuta anayoyafanya hakupaswa kuwa na mke/mume lkn aaah ndoa yake unakuta ipo tu
Eeh
Braza nadhani mtu ni kujikita kwenye yajo tuu utafanikiwa
 
Hiyo namba 5 inanikumbusha movie ya kihindi inaitwa JURM, wanandoa au mnaotarajia kuingia kwenye ndoa angalieni hii movie mtajifunza mengi sana.
 
Hizo mbwembwe tu wanawake wanapenda kuolewa na "playboys" [emoji14] [emoji4] [emoji119]
 
Nadharia ya ndoa ni rahisi sana shida ni practical! Waulizwe makungwi wabobezi kwa nini wao hawaoleki pamoja na maarifa makubwa waliyonayo?
 
Back
Top Bottom