Umeoa?Yaani katika vitu sitaki kuvisikia Basi ni hii michango ya harusi......ndugu zangu nimewapa taarifa sitatoa mchango wowote unaohusu harusi.......miez miwili ilopita kuna best yangu alinipa kadi ya harusi ....kakaaa wiki ilopita ananidai pesa ya mchango wa kadi yake nilichomjibu alilia... Sipendi ujinga huu
Kama mimi mkuu, sichangii mtu, hata wife nimempiga marufukuYaani katika vitu sitaki kuvisikia Basi ni hii michango ya harusi......ndugu zangu nimewapa taarifa sitatoa mchango wowote unaohusu harusi.......miez miwili ilopita kuna best yangu alinipa kadi ya harusi ....kakaaa wiki ilopita ananidai pesa ya mchango wa kadi yake nilichomjibu alilia... Sipendi ujinga huu
Kuna mtu alienda kudai fridge akamwambia mwanaume Mimi niliwapa fridge mkiwa wawili huwezi kutumia peke yako. Jamaa alivyobisha akamtolea risiti. Alipewa fridge bila risiti wakabeba fridge wakasepa nalo na risiti yao mkononiInawezekana ilimkera kuona mtu una mchangia leo hlf siku chache anasikia wameachana,ila wanasema tenda wema nenda zako.