Yahya Jammeh ametangaza kuunda Serikali upya

Yahya Jammeh ametangaza kuunda Serikali upya

Nimeficha sana na kukaa na siri moyoni lakini leo nimeona bora niseme tu,
Ukweli kila nikisoma hizi habari za huyu Jammeh moja kwa moja mawazo yananipeleka pale ng'ambo kwa wenzetu na ndugu zetu wale walioko kule
baharini upande wa Mashariki. Kila nikijaribu kukwepa hisia hizo za kina Mwalimu Seif zisinijie najikuta napata napata wakati gumu sana kuziondoa.

Yaani mtu akinitajia Adam Barrow tu basi Mwalim huyu hapa ananijia kwenye fikra, Na akitajwa Yya Jameh basi ananijia yule Jamaa aliekuwepo kabla nimejiuliza hata ni kwanini
sijapata jibu aisee[/QUOTE

Jamaa gani hao
 
Back
Top Bottom