Yahusu wafufuao wafu na misukule

There is no such thing 'empty words'
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...

Naona kuna members humu ni wanachama waaminifu au ni wafaidikaji wa hawa manabii na mitume ndio maana tunapishana lugha! Kukariri vifungu vya Biblia na kuvitafsiri kwa uhalisia wake ni vitu viwili tofauti
 
Vile vile nemulo unabii hujipi mwenyewe bali hutokea kwa uweza wake Mungu! Hawa wetu hawa wa siku hizi ni changa la macho na mawakala wakubwa wa ibilisi kuanzia ibada zao mpaka matendo yao! Neno linasema hivi 'BALI MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO'
 
Last edited by a moderator:

Does the Bible says "YE SHALL RAISE THE DEAD"? Yes, it does.

Here is the proof from the infallible word of God. Matthew 10:8 Heal the sick, cleanse the lepers, raise the dead, cast out devils: freely ye have received, freely give.
 
Ally Kombo huyu si Ishmael na hakuna mwenye watu wake hapa jamvini wote sisi ni wanachama wa jamii forums! Na hata kama akiwa Ishmael haina maana kuwa akubaliane na kila kitu nitakachopost au mwingine yeyote

Kwa mfano huyo wewe unayemuita Ishmael kitu ambacho naamini sie nilimwomba kwenye reply yake ya kwanza kuwa asihusishe imani nyingine nje ya ukristo kwakuwa si lengo la post hii

Kama ana hekima atakuwa amenielewa na ndio maana baada ya hapo chagizo zote kazilenga kwangu, mkuu BAK na wachangiaji wengine wote wenye mtazamo kama wangu
Natumai nawe tutaenda sawa kwa muktadha huu

Cha muhimu hapa ni malumbano ya hoja yenye mwelekeo wa kujenga na kuelimishana na so umahiri wa kukariri vitu bila ufafanuzi wa kujenga na bila kuzingatia uhalisia
 
Naona kuna members humu ni wanachama waaminifu au ni wafaidikaji wa hawa manabii na mitume ndio maana tunapishana lugha! Kukariri vifungu vya Biblia na kuvitafsiri kwa uhalisia wake ni vitu viwili tofauti

Mkuu usipate shida hata ilishaandikwa kuwa nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo na watakuwa na uwezo hata wa kuamrisha moto kushuka kutoka juu,ila tusiwafuate. Cha kufanya ni kuzipima hizo roho kama zinatoka kwa Mungu au la.

Swali,utajuaje? Wewe mwenyewe ukiwa mwombaji na kusoma neno vizuri huwezi kubabaishwa hata siku moja

However, Mbinguni hawataenda watu kwa sifa ya Unabii,utume,uaskofu,uchungaji,kwa kutoa sadaka nyingi au kwa kujiinua sana mbele za watu....BALI WENYE MOYO SAFI NDIO WATAKAOKWENDA.
 
Does the Bible says "YE SHALL RAISE THE DEAD"? Yes, it does.

Here is the proof from the infallible word of God. Matthew 10:8 Heal the sick, cleanse the lepers, raise the dead, cast out devils: freely ye have received, freely give.
TanzaniaLaw naomba nikujibu kwa mara ya tatu kwamba sipingani na kifungu chochote ndani ya Biblia bali napingana na mafundisho yatolewayo na hawa manabii na mitume! Tafadhali jaribu kunielewa katika hilo na vema ukaweka interest zako katika hili
 
Last edited by a moderator:
Vile vile nemulo unabii hujipi mwenyewe bali hutokea kwa uweza wake Mungu! Hawa wetu hawa wa siku hizi ni changa la macho na mawakala wakubwa wa ibilisi kuanzia ibada zao mpaka matendo yao! Neno linasema hivi 'BALI MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO'

Ndio hivyo mkuu mshana jr aisee mimi huwa sishawishiki kirahisi mkuu na huwa nawaambia.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi ni mwendo wa kurudisha nguvu za Kiume, kutafuta Mume/Kuolewa, utajiri, kusafisha nyota.....Hawana tofauti na waganga a kienyeji..

Hahaha umejujaje...yani nasikitika wadada wengi marafiki zangu wameacha madhehebu yao yale ya zamani - Lutheran, Catholic, Anglican wanakimbilia kwa " mitume" wakaombewe wapate waume. Its funny ila inasikitisha. Juzi mmoja kaja oficini kachoka anadai alikua kwenye mkesha kwa nabii Bushiri alikua anawaombea wapate waume yani duuu. Na wapo wale manabii wa kuambukiza utajiri...nakuambukiza magari, na kuambukiza majumba. nakuambukiza elimu hahahahahah jamani kuna watu Wajinga sijapata ona. Na yeye akiambukizwa anapokea kwa Imani.... Namshukuru Mungu nina Imani dhabiti isiyo tetereka.
 
Ukisoma biblia utagundua mtoa mada ni mshamba wa kiroho....... Yesu aliagiza kufufua wafu na ingekua ni usanii tungejua..... Stop cheating us

Hapana sijadanganya mtu na sijamlazimisha mtu kuamini lolote haya ni maoni yako! Hii kitu inayoitwa ushamba wa kiroho ndio naisikia kwako lakini hebu nijibu haya maswali machache
1: je Yesu aliruhusu kutoza ujira kwa kumsaidia mtu tatizo lake?
2: Je Yesu baada ya kutenda miujiza alijitangaza na kujisifu?
3: Je Yesu aliishi maisha machafu yaliyojaa starehe ma mambo ya kidunia?
4: Je Yesu alikuwa na kashfa mbali mbali kama walizo nazo manabii na mitume wa leo?
5: Je Yesu alijilimbikizia Mali na kuwaacha maskini wakiteseka?
Nijibu hayo machache tuu! Umejibu bila kutafakari narudia kusema tena SIPINGANI NA Mafundisho ya BIBLIA bali mafundisho ya hawa manabii na mitume wa Leo! Kama huu ndio ushamba wa kiroho basi sipo pekeyangu
 
Ukisoma biblia utagundua mtoa mada ni mshamba wa kiroho....... Yesu aliagiza kufufua wafu na ingekua ni usanii tungejua..... Stop cheating us

Kijana Mpole ingekua enzi za Yesu ungeitwa Kijana Mpumbava tena na Yesu mwenyewe. Mtoa mada sio mshamba wa Kiroho kwasababu pia Biblia imeandikwa na Imetabiriwa kua Kutakua na manabii wa uongo tena tumeonywa tujihadhari nao (labda kama hivyo vifungu hujawahi visikia maana ungekua unasoma usinge andika hayo uloandika). Na mtoa mada anawaongelea hao manabii wa uongo. Sibishi kua Yesu aliagiza kufufua ila hao wafufuaji ni feki!!!! Kama ni wafufuaji kweli siku waende Muhimbili Mochwari wakachukue maiti moja waifufue hapo nitaamini ila sitalishama dhehebu langu.
Kufufua ni karama na sio kila mtu anayo, kama ilivyo kwenye kuombea sio kila mtu anakarama ya kuponya wagonjwa etc.
Sijui kama umenielewa (Ukiendelea kubisha nitarudi tu argue kwa vifungu).....Stop being fooled.
 
Kaka Mshana....kwa kweli kama ndo hivyo washamba wa kiroho tupo wengi aiseee. Hawa waumini hua wanakuaga wabishi kweli na full kupindisha Biblia...hawaambiwi wala hawaoni. Ntarudi kesho na Vifungu. Kio Chedi.
 
Asante sana kwa msaada binti2013, tuendelee kuwaelimisha kuna maswali kadha nimemuuliza nasubiri majibu hasa kwa gwajima kusema atamfufua chifupa, na baada ya kushindwa akasingizia ETI serikali imemzuia !!!! Nikajiuliza hivi serikali na Mungu nani mkubwa!?
 
Last edited by a moderator:
Kaka Mshana....kwa kweli kama ndo hivyo washamba wa kiroho tupo wengi aiseee. Hawa waumini hua wanakuaga wabishi kweli na full kupindisha Biblia...hawaambiwi wala hawaoni. Ntarudi kesho na Vifungu. Kio Chedi.

Nahavache thaana! Gosha wedi
 
Kuna watu wamenishambulia kwa kuniita mchawi na wengine kusema natafuta Wateja ndugu zanguni sipo hivyo na kama Wateja ninao kwa siku Nina hudumia with zaida ya mia tena wakiwemo haohao wachungaji wenu na manabii wenu hivyo sina Shida ya watu wa mi nimejiunga humu kuchangamsha akili yangu na kuwatoa uwongo wale wanaoongopea watu hasa wale wenye simulizi za uongo uongo za kwenda kuzimu huku hawkujui ili kila mtu ajue kuzimu ni wapi na mtu anafikaje tena ni wazo la mwanasiasa mmoja ndio aliyeniunga humu vinginevyo nisingekuwemo humu ndio mana baada ya kuona post yangu watu wamenipigia simu kunisihi nisitaje majina ya yeyote ila niwaelekeze tu
 
Neno la Mungu linasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Na wamwabuduo Mungu halisi humwamudu katika Roho na kweli. Sasa wakristo tusome biblia tuielewe tuachane na kusikiliza hadithi! Imefikia hatua waumini wote wanalazimishwa kumuita mtu BABA wakati Yesu mwenyewe alishasema Baba yetu ni mmoja tu, ni Mungu wa mbinguni. Tena wewe ukionekana hutaki kumwita baba unaonekana muasi! Hembu jiulize unaitwa muasi kwanini? Kristo akiwaweka huru mtakuwa huru kwelikweli! Mimi nilikuwa mmoja wao lakini Kristo ameniweka huru, sitaki tena kuyumbishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…