Yahusu mirathi

Blackninja

JF-Expert Member
Aug 26, 2018
376
306
Rejea kichwa cha habari hapo juuu
Mnamo mwaka Jana mwezi wa 12 nilimpoteza mama yangu (rip)ambaye alikuwa Mtumishi wa serikali......... Baada ya kukamilisha taratibu zote za Mahakama ya mwanzo na kwa mwajiri nikaenda kwenye ofisi za psssf nikajieleza na kutoa document halali kama msimamizi wa mirathi nikapewa fomu za kujaza na kuambiwa nisubiri watanipigia simu
Swali langu je watatoa pesa zote au 33%
 
Back
Top Bottom