Khaa! Huyu ameitwa au kajiita? Yaani anamwaibisha Bosi wake JF.Habari wana JF,naamini ya kumu ni wazima na MUNGU anaendelea kuwajalia,kama nilivoeleza hapo juu,Mtu unaweza kuwa na ndoto flani zako ili utimize ila unashindwa kutokana na sababu flani, nasema hivi kutokana na Maono na malengo ya Mchungaji huyu kukwama sababu ya kukosa pesa,Mchungaji 1 ameniomba nimwekee tangazo hili humu jamvini maana JF ndio mwisho wa yote....Anaitwa........ni Mchungaji wa kanisa..........anaishi mkoa wa RUKwa, anatafuta mfadhiri atayesaidia kugharamia huduma yake maana huduma inashindwa kuelekea mbele kutokana na kukosa fedha za kufanikisha huduma......hivyo anaomba mtu yeyote yule aliyeguswa na swala hili amsaidie Mchungaji huyu........kwa aliye tayari kwa ushauli au pia msaada ani PM....Aksanteni sana...Nawasilisha.
Yaani aibu tupu!Mleta mada wakati Mungu anamtuma alimpa maagizo gani?
kwanini asirudi kumuuliza Mungu umenipa maagizo ila kazi imekwama nifanyeje?
Mmh
Yaani aibu tupu!
Mwambie atafute nauli aende NIGERIA, akirudi full magumashi, mapepo nje nje! Atashangaa mwenyewe jinsi atakavyonunua HUMMER ndani ya mwaka mmoja!
humu yumo na huduma anatoa!.Pasco, hivi umeshindwa kabisa kumshawishi mh Lowasa kuingia jf? Angeweza kutoa huduma kwa wananchi wake.
Muulize anatoa fungu la kumi yeye binafsi? Je huduma yake inatoa fungu la kumi? Kumbuka amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu,,atoe alichonacho kiroho na watu watampa vitu vya mwilini in return.
Sasa tutakuamini vp kama umetumwa na huyo mchungaji ambaye hajulikani jina wa kanisa analochunga, tukikupa hizo pesa tutaamini vp kama mhusika kazipata , jipange tena kisha uje
Mleta mada wakati Mungu anamtuma alimpa maagizo gani?
kwanini asirudi kumuuliza Mungu umenipa maagizo ila kazi imekwama nifanyeje?
Mmh