Ni kweli hazijapotea ila zimetumika ndivyo sivyoMjadala wa BILIONI 1500 unazidi kushika kasi... Sasa watu wanaulizwa ni kweli zimepotea... Wanasema hapana hazijapotea... Na ni kweli hakuna panaposema zimepotea ila zimeingizwa kwenye matumizi yasiyoonekana kwenye makaratasi ya kumbukumbu.... Sasa baada ya hapo kila mtu anaweza kuchanganya na za kwake....
Mbunge mmoja kule Afrika kusini wakiwa bungeni akasema nusu ya wabunge wote humu ndani ni wapumbavu.... Kauli hii ikawakera wengi mpaka supika akamwamuru jamaa afute kauli yake
Hakubisha! Akakubali kufuta kauli yake kwa kusema nusu ya wabunge wote humu ndani sio wapumbavu!!
Hivi tofauti ya kupotea na kutojulikana kilipo kitu ni ipi!?
Tunaishi nchi ya.. Wanoni... Ni nani akamfunge paka kengele!? Ili akija wote tumsikie....!??? View attachment 750830
Lile roho mpaka leo linaishi halafu limekuwa jitu zima sasaTaifa la ajabu sana hili huu ujinga duniani unapatikana hapa!!! Ashakum si matusi si ajabu kiongozi wa Taifa fulani alimwambia mtawala fulani anaongoza maiti hii kauli ya miaka ya 70's huko hadi leo inaishi.
Hii Nchi yetu bhna ni stress mwanzo mwishoWee subiri utaona tuu
Yetu majicho na ma midomo na mashikio.Mjadala wa BILIONI 1500 unazidi kushika kasi... Sasa watu wanaulizwa ni kweli zimepotea... Wanasema hapana hazijapotea... Na ni kweli hakuna panaposema zimepotea ila zimeingizwa kwenye matumizi yasiyoonekana kwenye makaratasi ya kumbukumbu.... Sasa baada ya hapo kila mtu anaweza kuchanganya na za kwake....
Mbunge mmoja kule Afrika kusini wakiwa bungeni akasema nusu ya wabunge wote humu ndani ni wapumbavu.... Kauli hii ikawakera wengi mpaka supika akamwamuru jamaa afute kauli yake
Hakubisha! Akakubali kufuta kauli yake kwa kusema nusu ya wabunge wote humu ndani sio wapumbavu!!
Hivi tofauti ya kupotea na kutojulikana kilipo kitu ni ipi!?
Tunaishi nchi ya.. Wanoni... Ni nani akamfunge paka kengele!? Ili akija wote tumsikie....!??? View attachment 750830
Hizo zitakuwa hela hewaKupotea na kutojulikana π π π
Swali la kijinga, zilikuwa zimeelekezwa wapi mwanzo? Awanja wa ndege umeishajengwa?Kuna kila dalili hii mada itafichwa kusikojulikana