Yahusu diploma holder to degree

Yahusu diploma holder to degree

mashishanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
611
Reaction score
429
Kuna yeyote wa diploma holder kapangiwa katika vyuo hivyo vilivyotoa majina ya wanachuo mana wako wanaosema Ata majina ya second selection yapo katika hizo selection zilizotoka sa iv, je ukweli ukoje mana wengine wanakomment tu Bila kujua ukweli, nawasilisha
 
Yani presha tupu, ila imani na uvumilivu ndo tumejaliwa tujipe muda tusema labda kesho watatoa, ijapo kuwa muda ni mali ila mungu atatushindia.
Amin
 
Tareh 7 mbali sana mkuu yatakuwa teyar yametoka sabab tar 8 kuna baadhi ya vyuo wanapokea mwaka wa kwanza
 
Kuna yeyote wa diploma holder kapangiwa katika vyuo hivyo vilivyotoa majina ya wanachuo mana wako wanaosema Ata majina ya second selection yapo katika hizo selection zilizotoka sa iv, je ukweli ukoje mana wengine wanakomment tu Bila kujua ukweli, nawasilisha
Mkuu naona chuo cha maji kimetoa majina ya dip holders na fm 6 kwa pamoja first batch hivyo tusubirie kidogo
 
Back
Top Bottom